niko na afsa mauzo wa jarida la kitangoma abraham mosi uwanja wa ccm kirumba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sasa Braza Misupu Hio Liverpool Mpaka Kwenye Flava?? Punguza Uzalendo Liver Ya Waarabu Na Wapemba

    ReplyDelete
  2. afisa gani huyo kachoka hivyo??!!!!

    ReplyDelete
  3. afisa gani huyo kachoka hivyo???!!

    ReplyDelete
  4. jamaa nilisoma nae jiteute sec alikua mwembamba sana naona 2mbo limetanuka jihadhari na pressure coz wabongo mnaona ukiwa na 2mbo ndio mambo safi kumbe mwajidanganya tu.unene c kipimo cha pesa!

    ReplyDelete
  5. Michuzi hauoni kuwa hamuuzi jarida la Kitangamo bali bia ya Carlsberg/Timu ya Liverpool ya Uingereza?

    ReplyDelete
  6. Sir Issa michuzi naona uko kwenye bishara Mzee.. inalipa lakini au urembo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...