kuna wadau kibao wameomba kuiona shule hii ya mwanza sekondari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ebwana michuzi we acha,unanikumbusha mwalimu mmoja mnoko tulimwita mwakalebela,alikuwa anakaa pale kibarazani juu anaangalia getini waliochelewa au wanaotoroka.utoto bwana

    ReplyDelete
  2. Bwana Michuzi kama utaweza nitaomba uweke picha ya shule moja nilisoma zamani ya Nyakahoja Primary, hapo Mwanza tafadhali sana.na hata picha kidogo za mitaa ya Capripoint.

    ReplyDelete
  3. aaah mwakalebela mbona mtoto, je kinshuli,atawatimua toka stend, na mkono enzi za ghuba.
    aaah my former school,inanikumbusha mbali.
    jamani form four S2 1995 mpo????
    thanks michuzi.

    hapo ndio chimbuko la mafanikio

    ReplyDelete
  4. kipingu hapo getini pananikumbusha vurugu mechi lako na mzee wa kikgugumizi kuhusu yule some body mhina,teh teh.
    kipinguu enzi hizooo cerebrity.
    hivi mange na gamba wapooo

    ReplyDelete
  5. kipinguuu, vita na bazillllll S2.
    utoto bwana ,ni tabuu

    ReplyDelete
  6. Onyango hivi bado yupo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...