sir juma nature na kundi lake la wanaume halisi wa tmk wakizindua albamu yao ya 'ndege tunduni' sasa hivi dayamondi ambapo wametinga jukwaani na staili kama ya carl douglas ya 'kung fu' na kuteka nyoyo za watu kwa sana tu. hakika huyu jamaa ni balaa na sijui akienda mikoani itakuwaje...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Yo Nature. Big halla. Au sio mwana. Kamua mwana, nakukubali. Ila man b careful. Sikiliza maneno ya Mwamba wa Kaskazini man. Usidanganywe na wanaokushabikia. U need to change in this rap game. Be a real nigga. U still acting wangsta shit. U know what I mean. Pia yawezekana ukafanywa we kipofu, watu wala nawe huku umeshikwa mkono. Them belly full, while u still hungry. U know what I mean? Inawezekana umemkimbia Fela ila bado macho hayajafunguka vyema. Sasa sikia dogo, u need a big fuckin' change. Unatengeneza pesa sasa, au sio. na pesa yako itumie kwa mambo ya maana. wekeza hela yako mwana. tafuta wataalamu wa uchumi wakushauri how 2 spend ur damn money. Aight!!!! Respect

    ReplyDelete
  2. hao wa mbele wamevaa ka wapiga ramli na hao wa nyuma ka wapishi hotelini

    ReplyDelete
  3. We Anony hapo juu inaonyesha wewe bado upo tunduni, subiri kuchinjwa na tajiri yako. watu wamependeza wametoka fresh wapo msituni wanafaidi matunda mwitu unawakandia!!

    ReplyDelete
  4. Nechaaaaaaaaa!! Kamua baba kamuaaaaaaaaaaa!!

    ReplyDelete
  5. PICHA ZINADANGANYA MSHIKAJI. NYIMBO NIMESIKILIZA NZURI SANA...YAANI MICHUZI SIJUI NI VUMBI LA BONGO SIYE HUKU TUMECHOKA MAJUU LAKINI TUKIPIGA PICHA TWAONEKANA SOAP SOAP KUMBE NI COCOA BUTTER YA $.99 CENT LAKINI HUYU MTU NGUO ALIZOVAA POA KISHENZO LAKINI SIJUI NI COLOR YA PICHA....
    LAKINI ALL I CAN SAY IS GO NATURE..GO NATURE..GO NATURE..GO NATURE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...