
babu njenje kaliweka sokoni limo lake. hataki nyingi, dola alfu kumi tu tosha. ndinga liko fiti, stata wan kik, kiatu kipya na limetembea kilomite 11200 tu. injini haijawahi kuguswa na bodi lake gumu kama mgongo wa kobe. wese linakula km 12 kwa lita, muziki stirio na kiwinta kinafanya kazi. na ukipenda anakubadilishia gia ya bakola na kuweka automatiki chap chap. gerentii mwaka mmoja na ushee. mwenye kulitaka wasiliana nami, usichelewe liko hili tu


if you believe on the given milage, then i have a bridge i would like to sell you!
ReplyDeletehahaha
michizi tupe mwaka... limetengenezwa lini?
ReplyDeleteInawezekana hizo milage ni kweli unajua bongo watu wanakua na magari kibao kama Jay Leno vile. Yaezekana hiyo ilikua gari la weekend tu.
ReplyDeleteInaonyesha imekula chumvi nyingi sana lakini inawezekana hata hii gari haijui barabara hata za Dar vizuri.
Tunahitaji tu vintage restoration car service. Kuna mali nyingi tu sana bongo. Hiyo gari bomba sana
Ukilipeleka Japan wanaliyeyusha kisha zinatoka baloon kama 10 kwajinsi lilivyo na body ngumu
ReplyDeletealoo michuzi jina la mkoko na la aina gani old is gold u no!!!!!!!!!
ReplyDeleteoyaa michuzi tupe mwaka wa gari au ndoo cheche zenu hizo kuna watu na pesa zao tunapenda old mkoko's
ReplyDeleteAisee michuzi, mie nipi very interested na hiyo gari. hii inaonekana kama Chevy
ReplyDeletecamaro or Ford Mustang, tena classic (1960s or 1970s). Ngoja tutawasiliana.
Kuuziwa Mbuzi kwenye mfuko wa Rambo
ReplyDelete