usipopita kula pizza hapa basi ujue minnesota hujafika sawasawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hujafika minnesota bila kufika alikotembelea Hubert Sauper pia! Au wewe Michuzi hukuona mapanki huko? Nice pictures brother!

    ReplyDelete
  2. nimekubali michuzi, watoto wa kuleana wapo bado?

    ReplyDelete
  3. nakuunga mkono kaka michu, Sio pizza tu bwana mimi hapo fruits with Ice cream, mahala pake. wapi kaka Charles?

    ReplyDelete
  4. Hii siyo pizzeria! kwa sababu bango unaloliona ktk picha hii lipo katikati ya pizzeria na hilo jengo unaloona... maanake pizzeria yenyewe iko upande wa kulia na haipo pichani!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...