Home
Unlabelled
lake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi kama utaweza toa na MWANZA SEC,ni shule kongwe na mashuhuri vilevile,nilisoma pale enzi hizo.
ReplyDeletehapa michuzi umecheza hii ni shule ya vipaji, shule hii imetoa wanasoka bora, tanzania hip hop inayoitwa bongo fleva imetokea hapo kuna jamaa walikuwa wakali vibaya wanaitwa Da Fad,shule imetoa wanamitindo wanao tamba hapa nchini,wapiga ngumi safi kama kina Idd Bakar, ma Dj waakali na producer. yaani usiseme. ila katika masuala ya academic performance ilikuwa Zero.
ReplyDeleteasante sana michuzi, angalau na sisi umetukumbuka leo. I miss that school. mbona hujatoa nyerere road? ccm kirumba? etc
ReplyDeleteDear author(Michuzi)
ReplyDeleteThanx for giving us such opportunity to remember our home place " LAKE SECONDARY SCHOOL" Kwa washikaji wote mlio pita hapa nawapa hi popote mlipo nakuwakumbusha njia ya Isamilo, Nyakabungo na Seketoure tukimkwepa Dura,.. Mvunyi,...Father. D.
Washikaji wangu wa A-level 1986-1989 maisha yanaendaje? washikaji big up where you are.
Wana -Lake wote please check hi5.com (lake secondary membership) And always remember that "in this great future you cant forget your past" GOOD LUCK
Dr. Balilemwa.
anon Sunday, April 08, 2007 6:10:00 PM
ReplyDeletehata akademiki kuna vichwa vimeshika sehemu nyeti we hujui tu.
stayed there for 6 years and i am missing it.
ebana hilo geti ni mara chache sana tumelitumia sanasana wakati wa kwenda home sio kuingia school. mnapita njia ya isamilo mwalimu anakula bunda kama hajawaona anategea kukamata form 1. that was a good time ever!
Shule ilivuma sana kwa ujangili, lakini pia ilikuwa na wanafunzi wazuri sana, namkumbuka mmoja wapo alikuwa anaitwa LWELENJA FREDNAND HE WAS ONE OF THE BEST STUDENTS EVER HE GRADUATED IN 1992 O-LEVEL. P/SE POPE ME A MESSAGE WHEREVER YOU ARE I'LL GET IT. I MISS YOU. SORRY I WISH I COULD PUT MY NAME ON BUT I CANT.
ReplyDeleteDuh braza michu umenikumbusha shule yangu duh si mchezo enzi zile mambo UMISETTA tulikuwa tunatesa sana kwenye shule yetu hasa masuala ya futiboli halafu nakubaliana na anonymous 6:10 kuwa shule hii imetoa vipaji sana hasa wanamuziki na wengineo wengi lakini kwenye perfomance tulikuwa tuko chini ila nikikumbuka enzi zile za kuruka fence tukimkwepa dura,Mvunyi....na Father D ilikuwa balaa tupu na akina Msiyangi yaani si mchezo ilikuwa ni raha hasa ikija wakati wa michezo bigg upp to all you people who passed thru this school hope u are havin good memories like me.
ReplyDeleteAhasante bwana michuzi kwa kutembelea home siyo hiyo shule ilikuwa na sifa zote, watoto wa wakubwa wote Lake, watoto wa matajiri Lake, wanamichezo Lake, watoto wa nguvu Lake, watu vichwa Lake, watoto wa kiuni waliobahatika Lake....e.t.c .Basi hiyo shule ili- create image ambayo hakuna shule Tanzania iliyoweza kukusanya different social clases kama Lake secondary. Maana hata tukiangalia kwa upande wa vipaji mfano. football mpaka leo ninavyo jua Lake ndiyo shule pekee iliyo toa wachezaji wengi waliochezea timu ya Taifa kwa miaka ya 1984-1995 vile vile timu kubwa za bongo . kuhusu academics Lake is one of successful private school in Tanzania for perfomance espeecially o-level ukizingatia kwamba ni shule ya kwenda na kurudi hata A-level ilikuwa inatoa matokeo mazuri. Watoto wa kiuni waliobahatika ni miongoni mwa watu successful in Tanzania katika nyanja mbali mbali, hapo sijaongelea watu vichwa waliosoma Lake na post walizo nazo bongo ni kubwa sana zikiwemo high post (tunaweka kwenye mabano ni wakina nani) . kwahiyo in general this school was like source of talented generation in Lake province region.
ReplyDeleteSifa ya Lake hata ughaibuni wanaijua ukimwambia mtu nimesoma Lake basi mtu anakuheshimu.
Mshikaji mmojaa///////
Masupu shukurani kwa kutupeleka kwenye kijiwe chetu.Nataka kuwapa salamu washikaji wangu waliomaliza form six 1989 hicho chama kilikuwa baraha tu.Dula alipata tabu sana pale mtaa wa kongo....
ReplyDeleteNitajaribu kuwakumbuka ila nitakao wasahau basi bahati mbaya.washikaji wenyewe ni hawa: Ronald , Egiberti Mhada, Paulo Masele, Abdul.Magimbi.., Buberwa Balilemwa, Frederick shokala ,Charles Rwebogora, Deo Mtagonda , Mikidadi, Yusufu Sarungi ,Shairoz Bhanji , Augustin Nyeme ,Basil , Patric, Cosmas , Ausnher ,Emanuel Nigura , Saimon ,EmmA...Hirary washikaji wengine waliotoka Seminary majina nimesahau..na dada mmoja wa Ki-indi. jamani tumepoteana sana waliopo Bongo tutafutane walioko Ughaibuni tutumiane e-mail bwana na mkirudi bongo tutafutane sie tupo nyumbani tunajenga Taifa .
KIKO////
Mkuu mbona haukumtaja mtu maarufu Koplo? Mikidadi Kagambo, Raymond Mkongwa, Bahati Kiyumbi, Aunish Bhoora walishatutoka muda sasa.Unawakumbuka hawa dada zetu tuliokuwa nao darasa moja? Hao ni Shy-rose Bhanji, Jane Mwakitosi, Anna Masele, Mayur Patel, Christina Manongi, Virji Manji, Emma Mashauri na dada yake Bahati Kiyumbi (jina limenitoka kidogo). Mwingine ni Charles Kisusi (kumbuka siku ya national exam alivyolambwa vibao na father D'Souza....aaah aah).
Deleteyeah nilimaliza Lake High School 1989... ningependa kuwasiliana na class mates wangu...
ReplyDeleteninaishi USA...
natafuta wanafunzi waliomaliza mwanza secondary school 1984 kama mpo basi jitokezeni,ningependa kukutana nayi siku moja; naishi France. Docha
ReplyDelete