msanii ray akiwa na toleo jipya la jarida la shule na vyuo ambalo yeye na mastaa wenzie wa luninga wamepamba jalada leo. jarida hilo ambalo linakuja juu sana kwani linaandaliwa rasmi kwa vijana na madenti wa shule na vyuo, linachapishwa na kampuni dada ya global publishers ya anko eric shigongo... bongo hatujachacha siku hizi
Home
Unlabelled
ray
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



mara mpatane mara mgombane,hii yote ni umaarufu mlionao bila kuwa na hela,
ReplyDeletehaya tutanunua hii,tuone kilichomo
Rey C naye..mara kwenye toleo ya kitangoma mara sasa ndio unamwonyesha kwenye hili jarida..hapa naona amekata nywele?
ReplyDelete