NAWATAKIA WADAU WOOOTE POPOTE MLIPO PASAKA NJEMA NA UJUMBE WANGU KWENI NI: TUMKUMBUKE MUNGU, TWENDENI MAKANISANI NA MISIKITINI NA KWENYE MAHEKALU TUMSHUKURU KWA YOTE ANAYOTUJAALIA.
PIA NAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUNIUNGA MKONO KWA KUTEMBELEA GLOBU YENU HII KILA KUKICHA NA WENGINE KUCHUKUA MUDA WAO KUTOA MAONI. MUNGU AWAJAALIENI NYOTE NAMI NAAHIDI KUENDELEZA LIBENEKE...


Amen Michuzi, na sisi wote wa Ugaibuni tuna watakieni Pasaka njema na week end njema kwa wote hapo bongo..
ReplyDeletekila la kheri kaka pasaka njema uendelee kutupachikia picha kibao, naona unashindana viewers na website kongwe ya bunge. Huraaaaaaaaaa.
ReplyDeletenawe pia ndugu yangu twakutakia kila la kheri ktk pasaka ila nasitikia tu ndugu zangu wa yanga leo pasaka itakuwa chungu kwao kwani watafungwa kiume na waarabu leo.
ReplyDeleteasante michuzi, pasaka njema kwako na familia yako pia.
ReplyDeletenawatakia pasaka njema watanzania wote na mungu atubariki.
Tunashukuru kwa salamu zako, kwa wale waumini wa madhehebu yote ya Kikristo leo ni ijumaa kuu, huwa watu hawali nyama. oooh nimesahau kumbe hata isingekuwa ijumaa kuu watu wasingekula nyama kwa kuogopa RVF
ReplyDeleteMichuzi na wengine wote Pasaka njema yenye furaha na utulivu.Tunawatakia pia watani zetu wa jadi ushindi mkubwa katika mechi yao ya ugenini!
ReplyDeleteMungu akujalie na wewe na zaidi ni kwa kukumbushia kuwa mungu ni wa kwanza katika maisha yetu.
ReplyDeleteShukrani zaidi ni kwa kutambua kuwa tunaotoa maoni tunachukua muda wetu kama ambavyo wewe unavyochukua muda wako kutuletea mambo mbalimbali, kwa kutambua hilo basi tusipotezeane muda, wewe tutatumia muda wako kwa kuendelea kutembelea blog yetu hii NA WEWE USITUPOTEZEE MUDA KWA KUWEKA KAPUNI MAONI YETU, AMBAYO KWA AINA MOJA AMA NYINGINE UNAONA HAYAKUFURAHISHI NAFSI YAKO PROVIDED HAKUNA LUGHA YA MATUSI ILIYOTUMIKA.
AHSANTE
Kila la heri Pasaka njema.
ReplyDelete