Home
Unlabelled
sele
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dhu! Huyu jamaa inaonekana amechoka kinoma angalia afya hiyo...mabega yameenda juu..chang'aa achana nayo.
ReplyDeletePamoja na kutovutiwa na miziki Bongo Flavour, naona jamaa wamepiga hatua sana na kuweza kuvuta umati mkubwa wa watu Kirumba Mwanza. Kitu cha kushangaza na kusikitisha, jamaa bado wanatumia sana nembo za Jamaica. Muziki wa Reggae unapigwa sana nchi nyingi duniani, lakini watu wengi hawatumii nembo za Jamaica. Wanaume wa TMK tangazeni Bongo sio Jamaica!.
ReplyDeleteKumbe afya ni lazima uwe na kitambi!?... Anyway, Tatizo sio kama hawana uzalendo, ila ukivaa bendera ya Tanzania kichwani au lubega, cha moto utakiona kama sio kwenda kunyea ndoo segerea...!!!!! hizo rangi wanazotumia si za jamaica pekee, angalia bendera ya Ethiopia. Maana kamili inaweza kuwa kujikomboa kifikra kutokana na utumwa wa akili, na ndio maana wengi wao wanafuata african culture ya kusokota nywele na kumtukuza Haile Selassie. Au kaka Mtimkubwa unasemaje?
ReplyDeleteWewe "Tarehe Tuesday, April 10, 2007 7:57:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous" Kitambis sio Afya. Mie naongelea Afya kuwa nzuri "Healthy" huyu ukimtiza anaoneka afya sio nzuri..anaweza anguka na kufa watu wakasema amelogwa kumbe ni afya mbovu.
ReplyDeletejamani hayo mabega sio yameinuka angalia vizuri hito T-shirt ina shoulder pads
ReplyDeleteAfande Sele amechoka sana siku hizi.Kila kukicha kwenye shoo "mimi ni msanii".Kuwa innovative Afande ujidhihirishie kweli kwamba ulipashwa kuwa mfalme wa rhymes
ReplyDeleteKILA MTU SIKU HIZI BONGO MSANII. SIJUI KAMA WAMEPATA NAFASI YA KUJUA MZIKI MAANA YAKE NINI.
ReplyDeleteLABDA KUSOKOTA NYWELE, KUVUTA VYOTE NA KUVAA PAMBA ZA AJABU. PAMBA KIBAO SIKU HIZI TOKA CHINA NA BANGLADESH. KWA NINI HATUI WASAFIIII.
NANI KAMWONA AKON AKIVAA FLAG YA JAMAICA? KWAO SENEGAL NA ANAVAA RIBON ZA SENEGAL 24HRS 7DAYS A WEEK.
JIFUNZENI NDUGU ZETU HATA MKIENDA KUOMBA VISA ETI MNATAKA KWENDA KUFANYA SHOO MAJUU MTANYIMWA.SI LAZIMA MVUTE NA KUFUGA UCHAFU MSIOJUA ASILI YAKE NINI. HII BLOG SASA NI YA VIBAKA.