mwenyekiti wa african stars entertainment baraka msiilwa akiwashukuru ndugu, jamaa na marafiki waliofika leo makaburi ya kisutu kumzika marehemu mama yake mzazi aliyetutoka usiku wa kuamkia leo. kampuni yake ndo inayomiliki bendi za african stars international na chipolopolo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mudi Elmamry huyo naona akisubiri zamu yake ya hand shake. Duh huyo ndiye Baraka Msiilwa! kumbe bado wamo.Check vaa yake.Nilifikiria ni mtu wa makamu ya kutosha na ambaye angestahili kuwa ametia kanzu kwa siku kama hiyo. Poleni jamani kwa msiba mzito

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...