Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kipanya wewe kimbilia kigamboni huyu mtu wa masasi hajui kuogelea kabisa kazi ya kula panya na anafikiri wewe ni msosi wa leo leo

    ReplyDelete
  2. watu wa lupaso kwa panya we acha tu

    ReplyDelete
  3. Hee!!..,
    huyo nyani mbona kama yule jamaa 'aliyeua bila kukusudia'....

    teh teh teh teh......

    ReplyDelete
  4. Ebwana hilo li nyani ndio muswada mpya wa habari au.....!

    ReplyDelete
  5. Huyo Ni Sokwe, na miwani ka upara kama yule mzee wa jazba, ukweli na uwazi akiwapiga stop waandishi waache domodomo pale kwenye lile shina la Chakula Maridadi Mtapata,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...