wadau kunradhi kwa usumbufu wa awali. tovuti ya jeshi la polisi bingo ni http://www.cja.co.tz/police_new.htm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mh, hata jina la IGP sio sahihi huko. Watanipa toxic info, acha nibanane hapa hapa

    ReplyDelete
  2. Aloo Michuzi hii website gani hakuna hata link moja inayofanya kazi? Halafu huyo Mahita kawa IGP lini tena,ina maana karudishwa tena kazini au ndiyo yaleyale ya siku zote ya kuweka kwenye website mambo yaliyokwishapita miaka mingi?
    Hao Polisi wanawekaje website hewani wakati haifanyi kazi,au hawajui inatakiwa kuwaje wameshindwa nini kuangalia nchi zingine wenzao wanafanyaje?
    AIBU HIYO JAMANI

    ReplyDelete
  3. There we go again, Ubabaishaji wetu wabongo, why rush a product to the market before it is finished? Link zote za kwene saiti ya polisi hazijakamilika na hazifanyi kazi, unakiliki hakuna kitu kinatokea. Kwanini usisubiri wakati kila kitu kiko functional ndio uende public? sasa kutonesha ivo vihcwa vya habari ionatusaidia nini sisi? kamanda Mwema unatuangusha bana!

    ReplyDelete
  4. Ubabaishaji mtupu! acheni kabisa kuitangaza ni aibu tupu na hicho ki-swanglish ndio kabisa kwa nini wasitumie kiswahili, pendeni lugha yenu. Link hazifunguki kazi ni kututangazia uozo. Na hilo jeshi linaongoza kwa kuwa na vilaza na ndio maana wanaanzisha kitu wala hawakijui, aibu tupu!

    ReplyDelete
  5. Saa wewe michuzi naona una taka kurudi TBT NSSF!!!!!! mbona hiyo Web mchosho au na wewe hua unatupa vitu bila kuvipitia? Kwanza huyo mahita mwambie akamchukue yule mtoto kwa Hgirl wake haraka na hatutaki kumuona hapo kwanza yeye sio IGP

    ReplyDelete
  6. Website rasmi ya police ni www.policeforce.go.tz

    ReplyDelete
  7. Michuzi asante kwa link mpya. Unavyowaona wabongo wanalalamika hivi na vile wako sharp sana tu. Ndio maisha ya hiku tunakoishi ndugu yangu. Kwahiyo wee ukiweka link ukazania watu watachukua siku nne ndio waipitie sio hivyo.

    Usichukie watu wakikulalamikia kuwa unaweka vitu ambavyo havijatoka jikoni. Ni kwa vile akili na uchangamkiaji wa vitu huku ni tofauti na bongo ukizubaa kidogo tu unaachwa. You sneeze you loose.

    Ndio maana hata hii website wata take their time kuweka vitu na hata ku update itakua ehe....kama huyo boss hivi bado ni yeye kweli or they didn't care to find out who is the boss now. Au hizi salamu zilivyoweka ndio kwanza walikua wanaiandaa hiyo website

    ReplyDelete
  8. Nina hakika hii website alitengeneza mwenyewe Bw. Mahita maana tangu aondoke jeshi hilo akaamua kuondoka nayo na kuifanya "static" Imeganda.. kama walivyonena wadau hapo juu hakuna hata link inayofanya kazi. Ni ninamuomba Bw. Mahita akipendela kulibeneka nayo hii website yake basi atuletee "Local Content" Kiswahili chetu ni kitamu zaidi na hasa kwenye website kama yake... AdK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...