leo sir juma nature kavunja rekodi ya umati wa watu kuhudhuria onesho dayamondi. yaani hata kina jay-z, shaggy, koffi olomide na wengineo hawaoni ndani....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. kuvunja rekodi sio kwa watu kujaa ktk ka ukumbi feki hako michuzi na kulinganisha huyu jamaa mnaimwita sir hakiwa hajui hata maana yake ili mradi kaona watu wanaitwa na yeye sir tu.Ila cha kwanza diamond sio ukumbi wa wa mambo kama hayo nafikili lilikuwa ni ghara la nafaka sasa ukilinganisha na huyu juma na kina jay-z na shaggy wanaotesa ktk arena za nguvu na kiingilio cha watu mia wa jay-z nafikiri ni sawa na watu wote wa huyo juma,sasa utalinganisha vipi hapo wewe michuzi

    ReplyDelete
  2. Ongera Nature. Waandishi wa habari kuweni na utamaduni wa kuwa na number kamili ya watu wanaoingia kwenye kumbi zetu. Unaposema amevunja rekodi kwa kiasi gani cha watu walioingia?. Kufahamu number kamili itasaidia hata siku itapotokea disaster kama moto,kujua idadi kamili ya watu waliopoteza maisha.Hatuombi itokee ila ipo siku itatokea na kushindwa kujua idadi kamili walioingia na kubakia kukisia.

    ReplyDelete
  3. Yeah walio ngambo tuliipata show live pitia Clouds FM, ila walitubania baada ya Prof J kupanda stage na hatujasikia tena. Anyway si mbaya. Ila nimewakubali vichwa vya Bongo. Holla kwa Northen Rock (U Know what I mean), alikamua ni noma. Ila sasa hii style ya kukaa jamani mpaka lini? Au ni kumbi zetu ndio hazijakaa vizuri? Katika show nilizozihudhuria kwa wenzetu mara nyingi watu huwa hawakai. Washabiki huwa wamesimama huku wakipandisha mizuka na wakiwapa big holla peformers. Sasa hapa hii ya kukaa mizuka inapanda vipi? nyw I don't wanna blame 2 much, ndio zetu za kibongo bongo. Ha ha ha.

    ReplyDelete
  4. Mazee, umati huo unaenda kumuona Chameleon na wala si Nature. Kwa upeo wangu ni kwamba Nature asingeweza kujaza hivyo! Samahani msinione nina roho mbaya, bali najaribu kuchanganua tu kama msomaji.

    ReplyDelete
  5. hakuna kitu chameleone alishakwenda bongo mara kibao na watu hawakaujaa hivyo

    ReplyDelete
  6. Wadau nisaidieni, hivi mnaipataje Cloooooouuuuuudddddds FM LIVE mkiwa nje ya bongo ?

    ReplyDelete
  7. kupata clouds fm live nje ya bongo ingia kwenye www.bong5.com utaona mahali pameandikwa listern live clouds fm.click hapo,then utaweza kusikiliza.

    ReplyDelete
  8. Mtoa maoni namba moja nimegundua kuwa ni limbukeni. Wacha ushamba hilo jina la Sir ni aka tu! Miji-jitu mingine sijui vipi!

    ReplyDelete
  9. clouds fm si utani iko bomba sana inapiga utafikiri uko east end,keep it guys clouds fm, kazi nzuri husifiwa.

    ReplyDelete
  10. Nakubali kwamba jamaa alivuta watu kibao,na hii ni kwa kuwa kiingilio chenyewe kilikuwa kidogo ambacho hata walalahoi walimudu,tofauti na show za wanamuziki uliowataja ambao kiingilio ni kikubwa mno,

    ReplyDelete
  11. some time inasikika kimchosho,sometime poa.

    ReplyDelete
  12. Sir is a title of respect used in several modern contexts. Is a title of honor of a knight or baronet. Bono who is irish recently received that recognition.

    African way should be aka MORANI NATURE, BALOZI NATURE, BABA NATURE teh teh teh teh

    ReplyDelete
  13. Anon wa 11;44am Kumbuka kuwa hapo ni bongo ukikaa pochi yako inakuwa salama zaidi kuliko kusimama. Hao waliokaa wamekalia pochi zao na wanahisi salama zaidi kuliko kusimama, ambapo itabidi ashikilie mifuko kama anamzuia ndege kuruka toka mfukoni, aaa tunduni vinginevyo ataomba msaada wa lift maana hata Tembo kadi itakuwa imeshatoka tunduni ipo msituni, teh teh teh

    ReplyDelete
  14. We mtu wa kwanza umefikiwa upeo wa kuelewa, mijutu kama nyie mnafaa kupigwa mawe na kufa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...