foleni ilikuwa kubwa usiku huu kwenye onesho la sir juma nature dayamondi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Sasa kiingilio kwa show kama hiyo inakuwa kiasi gani? Compare na hizo za kina Jayz Koffi etc?

    ReplyDelete
  2. Nimeona kwenye hito flyer ni sh 4000/- Siyo mbaya sana. Hata mtu wa kawaida anaweza kuipata hiyo ila kiingilio kwa sow za kina Jayx etc sijuhi ni kiasi gani...

    ReplyDelete
  3. Shoo za Kina Jei Zii kiingilio kinaanzia TSH 30,000 hadi TSH100,000 kwa hiyo huwezi fanananisha. hela za watu 100 wa Jei Zii sawa na hao wote waliongia Jana na kupita.

    ReplyDelete
  4. ukisimama kwenye hiyo line inabidi wallet uweke kwenye chupi la sivyo unafika mlangoni kujicheki mifukoni wallet ilishaondoka

    ReplyDelete
  5. Kuna wengine hapo wanaonekana wana sura ngumu kweli hapo inabidi uangalie mfuko wako wa nyuma la si hivyo huna kitu halafu hao jamaa watatu wa nyuma wamemtolea macho huyo dada wa mbele aliyevaa koti sijui wanakula mingo ili wamfanye nini sijui

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...