Home
Unlabelled
utamaduni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Iddi Amin lazima angefurahi kuona mzungu anampigia mgoti mweusi!
ReplyDeletesielewi michuzi ulitaka tusifu utumiaji wa pesa za serikali kwa msururu wa watu kwenye ziara za viongozi,,anyway NDIO wanaokulipa mshahara lazima unaogopa,,
ReplyDeletelkn nilidhani kama muandishi kuwa MSEMA KWELI hata kama ni kitawachukiza wanaofanya, kazi yako ni KUSEMA.
jamani mbona watanzania tunapenda kusema sema sana, yani jinsi siku zinavyozidi kusonga mbele ndo kulaumu kumezidi, kila jambo siku hizi ni baya, tuwe tunafikiria kidogo kuliko kulaumu,
ReplyDeletemkuu hapo juu, weusi kuwa wengi hapo kwenye picha si kwamba wote ni msafara wa lowassa, labda wengi wao wanaishi huko au ni wafanyakazi wa ubalozi wetu huko new zii land, tujaribu kufikiria jamani ee...
dhumni kubwa la pic nafiri lilikuwa kuonyesha kuwa hata wa new zii land wana 'my maasai wangu' siunaona huyo ni mr ebbo kabisa anaruka na fimbo.
sorry if i crossed you.
Sir Issa Michuzi..Hiyo fimbo ya huyo bwana inaweza ikamuumiza mtu hapo. kaeni mbali...ooo..haya... weee..
ReplyDeleteWe Brandmuge acha kujipendekeza. Lazima tuwalaumu hawa kwa sababu wanatenda tofauti kabisa na walivyotueleza wakati wa kampeni na uchaguzi. Hakuna cha maana wanachokifanya zaidi ya kujineemesha na maamuzi ya kukurupuka bila kufikiri kwa kina. Hawaipeleki TZ mbele hawa ni mafisadi tu. Matumizi mabaya ya mali za umma. Huyo Principal wa MUCHS kaenda huko kama nani wakati yeye si mtu wa serikali za mitaa?
ReplyDeleteWe anony 08:40 pole sana.acha vurugu unalaumu nini sasa.Wazee wapo kazini,acha wapige kazi.Si tungekuchagua wewe ukawa president,au huwezi.Lawama hazijengi ndugu.Kaa kimya
ReplyDelete