mwina kaduguda a.k.a simba wa yuda (kati) akiwa na rogers malillah (shoto) wakimpokea mwanamuziki toka congo diblo dibala alipotua dar miaka ya nyuma. kaduguda, ambaye sasa ni katibu mkuu wa wekundu wa msimbazi, enzi hizo alikuwa mwandishi wa habari wa gazeti la uhuru

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ebwana kumbe kadu simba ya Yuda katoka mbali hivi,dah!ananifurahisha sana huyu bwana,hapendi kubembeleza mtu,safi sana.hawa ndio viongozi.

    ReplyDelete
  2. Mimi nadhani Simba wamechemsha sana kumchangua huyu CHIZI kuwa katibu wao mkuu! Maana huwa hana point wala wazo jipya. Kuchemka tu!

    Kuna wakati aliwahi kusema Taifa Stars si kitu wala nini! Sasa la kushangaza wasanii wa Simba wamemchagua kuwa boss wao! Ajabu kweli kweli kwa hii Club inayoongozwa kwa nguvu za Giza.

    Sasa hivi Timu ya Simba eti iko Pemba! Eti wanajiaanda na Ligi ndogo!!!?? Ni vitu vya ajabu ajabu vya Kaduguda.

    ReplyDelete
  3. we anon wa pili,simba wako pemba ktk mashindano ya kumkumbuka,Hilal,mchezaji wa zamani wa zanzibar.Kwani kwenda pemba ni ajabu,wewe unaujua uwanja wa gombani wewe?unaweza kuufananisha na viwanja vingapi hapa bara?sio unasema sema tu,kila mtu ana makosa yake na mazuri yake.

    ReplyDelete
  4. huyo wa upande wa shoto si AHMED KIPOZI? au nani michuzi..plz let us know

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...