nyoshi el sadat wa fm academia akiwa na tuzo ya bendi yake ya albamu bora ya 'dunia kigeugeu' usiku huu kwenye kili tanzania music awards dayamondi jubilei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2007

    huyo mjamaa angefaa apate lile tangazo la GEICO. Kwa wale walio kwa uncle sam Watanielewa

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2007

    da! naona mkuu alikua amejikwatua kisawasawa..!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2007

    kaka michu mwambie jamaa apunguze mkorogo huo haa!! watampenda buree wanume wenzie

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2007

    MTUME! Jamaa anataka ngozi yake ifanane na ya Michael Jackson nini! DUH!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2007

    http://www.youtube.com/watch?v=kVVSmnnqfvc&mode=related&search=

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2007

    duh!hawa ndugu zetu wa congo hawajambo kwa mkorogo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2007

    Uyo angepata tuzo ya Mkorogo bora

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2007

    Wee Anon wa kwanza kabisa umenichekesha sana kumfananisha Nyoshi na cave man ....lakini to your credit , they somehow look alike.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2007

    Na kigeugeu manaake huo mkorogo !

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 28, 2007

    Hii Bitu Ya Babongo Apana Elewa Kabisa Sisi Fashaa Ya Bana Kongo Napenda Sana Kua Nyeupe Kwa Maana Nakula Sana Kima Sana Nataka Bandugu Onekana Iko Mutu Sasa eeh Hii Ndo Fashaa Ya bana Kongo Dugu hahaha

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 28, 2007

    MICHUZI WEKA MOJA LIVE HAPO TUPATE NGWASUMA USIBANE

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 28, 2007

    Mkorogo au balaa??

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 28, 2007

    Aaache kujiKOROGOA hivyo. Vinginevyo wanaume wa shoka watamfanya "Muangilikana" bure!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 28, 2007

    Mkorogo huu balaa! afu navokujua michuzi ulivo mchokozi umeweka maksudi hauna lolote.....

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 28, 2007

    Michuzi mwambie huyo kaka kuwa aangalie asijepata kansa ya ngozi licha ya wanaume wenzake kuanza kumpenda bure. Huo mkorogo hatari sana, mionzi ikipiga gkwenye huo uso duhhh

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 29, 2007

    aisee huyu ni jini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...