Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2007

    HII NI HALI ALISI MPAKA SASA MIAKA 46 BAADA YA UHURU TANZANIA.LAWAMA ZOTE ZIWAFIKIA VIONGOZI WAZEMBE WA SERIKALI YA JAKAYA AMBAO HAWANA UZALENDO NA NCHI YETU YA TANZANIA ZAIDI YA KUJALI MASLAHI YAO BINAFSI NA FAMILIA ZAO.HALAFU HAPOHAPO VIONGOZI HAO HAO WANAFKI WANATANGAZA KILA SIKU OOH TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA SANA KTK MAENDELEO.MNAWAFANYA WATU WAPUUZI SANA NYIE VIONGOZI.WEWE KAMA HUJAWEZA KUMSAIDIA MTANZANIA MASIKINI KUPATA HATA MAHITAJI YAKE YA MUHIMU KAMA AFYA,ELIMU,CHAKULA,UMEME NA MAJI,IWEJE LEO UTANGAZE KWAMBA NCHI INAENDELEA KWA KASI?HIVI NI VITU AMBAVYO VIPO NDANI YA UWEZO WA SERIKALI KWANI WATU WANAKAMULIWA SANA KODI AMBAZO HUISHIA KWENYE MIFUKO YA WAKUBWA.WAHENGA WALISEMA "MNYONGE MNYONGEI HAKI YAKE MPENI"SASA KWA NINI HAWA VIONGOZI WETU WA TANZANIA HAWANA HATA UTU?HIVI HAWAFIKIRII KWAMBA HAPA DUNIANI SISI TUNAPITA TU,NA SIKU MOJA TUTATOA HESABU ZETU MBELE ZA MUNGU.NAWALILIA SANA WAZALENDO WETU KAMA:NYERERE.MANDELA,CHE GUEVARA,STEVE BIKO,PETRICE LUMUMBA AMBAPO KWA SASA NI VIGUMU KUWAPATA WATU KAMA HAWA.MUNGU IBARIKI TANZANia

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2007

    kwa leo misupu umeniacha hoi bin taabani,toka nianze kupitia kwenye hii blog yako,basi ya leo inaingia moja kwa moja kwenye ginessi book.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2007

    mbona the passengers dont look sick? they look like they are cruisin to me

    ReplyDelete
  4. Anon hapo juu poa mgonjwa si hoi?! kalala juu ya mkeka huwezi mwona

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2007

    utawezaje kumuona mgonjwa wewe na amelala? hao unaowaona ni wauguzi tu wanahadithiana namna mgonjwa alivyopatwa na maradhi/ labda ghafla au yalimuanza taratibu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2007

    ANONY WA KWANZA HAPO JUU, NANI KAKUAMBIA HII PICHA IMEPIGWA TANZANIA? UNALALAMA BURE KABLA YA KUMUULIZA MICHUZI HII PICHA NI WAPI? NCHI GANI?, KWANI MAANDISHI YALIYOANDIKWA 'AMBULANCE' NI KIINGEREZA, YAWEZA KUWA NI NCHI YOYOTE ILE, HATA KAMA INGEANDIKWA KWA KISWAHILI 'GARI KA KUBEBEA WAGONJWA' TUSINGEWEZA KUAMUA MOJA KWA MOJA KUWA NI TANZANIA, KWANI NCHI NYINGI SASA ZINATUMIA KISWAHILI. USILALAMIKE KABLA YA KUJUA.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2007

    Wala msimshambulie Anon wa kwanza. Hii hata kama haikupigwa TZ..ila hatuna tofauti. Hii ndo hali halisi ya home! Ama kweli Mungu atunusuru jamani..Awape viongozi wetu moyo wa kuiba na kutumegea/kutubakishia kidogo jamani! Yaani mpaka inakatisha tamaa.....

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2007

    hii picha ni kenya huko niliona hii kitu live

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2007

    Jamani hapa ni TZ,kwetu kabisa KARATU(MANAYARA)hivi ndo tunawabeba wagonjwa huku kwetu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 21, 2007

    Hivi wewe unayeamka tu na kulaumu bila hata kuangalia. Picha zenyewe zinaonyesha attachment yake moja inasema Zimbabwe na nyingine Zambia.
    Msiwe wepesi kulaumu the Govt all the time.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2007

    Hakuna cha Zimbabwe wala cha Zambia, hii ni Tanzania yetu. Tatizo watu wakizaliwa Dar au kwenye miji mikubwa wanasahau kuwa kuna ndugu zao wanakufa kwa umasikini licha ya ukimwi, njaa na malaria. Hii ni picha ya Tanzania halisi. Niliwahi kuishi Mbinga vijijini., mtoto wa miaka 6 darasa la kwanza, tayari ameshaanza kupasuka miguu. Hajui kama huwa kuna kiatu achilia mbali kandambili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...