teke-linalokujia la kupata maji moto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2007

    Kutokana na zana zilizotumika hiyo lazima iwe ni POLAND au USA (kwenye makazi ya wapolish) hii kutokana na lugha ya kwenye makopo hayo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2007

    MAJI YANAYOINGIA INABIDI YAWE SAWA NA YANAYOTOKA ILATU INABIDI MAJI YAWE YAKO NUSU KABLA ILI YASIPITIZE TUU BILA YA KUPASHWA. NI AKILI NZURI KIASI.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2007

    AMA KWELI TEKE LINALOKUJIA HILI KALI UMEME HAUANGALIWI HAPO HA HA HA HA HA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2007

    hii nimependa...

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2007

    mtapigwa shoti nyie, mnafikiria kutatua tatizo bila kufikiria matatizo yatakayosababishwa na ufumbuzi wenu

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2007

    jamani hii ni poland kabisaa...mie mkazi wa huku nimeitambua kutokana hiyo sabuni yakuoshea vyombo(ludwik)na hio chupa ya mafuta..duhh..sikujua km wapolish wanateknelojia hii jamani...

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2007

    Karlovo Namesti wewe mkali. Upo huko nini? Tuwasiliane basi!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2007

    Kumbe wapolish wamechoka hivi. Ndio maana proffessor wangu mmoja alikua mpolish tulikua tunaona kama amechanganyikiwa vile au anashida sana. yaani ukimwona unajua huko alikozaliwa ilikua tabu tupu. hata bongo haikufikia hapo

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2007

    Kumbe wapolish wamechoka hivi. Ndio maana proffessor wangu mmoja alikua mpolish tulikua tunaona kama amechanganyikiwa vile au anashida sana. yaani ukimwona unajua huko alikozaliwa ilikua tabu tupu. hata bongo haikufikia hapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...