kibao 'usijaribu' kimemfanya ay anyakue tuzo ya wimbo bora wa mwaka kwa upande wa hip hop

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2007

    Daaah hongera bwana unastahili hicho kibao ni noma

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2007

    Mbona wimbo wa usijaribu wa AY sio Hip Hop? Mimi ndio nakosea ama Kili Music Award ndo walokosea?
    Mi naona hapana wimbo huu haukustahili kuwekwa hatav katika 'kategori' hii...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2007

    Kumbe AY mzuri hivi..dress like that all the time....

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2007

    Hichi kichalii juzi juzi tu kembaamba leo anaonekana kama dingi flani,tunakupa mwaka mmoja mbele kitambi vibaya.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2007

    Ana meno 64!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2007

    WE MSHENZI ULIESEMA MENO 64 sio vizuri kabisa na wewe michuzi unakosea kuweka mambo kamahaya matani ya kweli kama kumsema mtu maumbile yake huyo anon aliendika hapa usikute mfupi kama kinyesi au vichunusi kama fenesi bt sio tabia nzuri kabisa. na wewe michuzi utuletee listi ya watu walioshind akwenye tuzo sio picha moja mbili tatu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...