mdau aliye ughaibuni kaanzisha blogu ya mambo ya kujipodoa. hebu mtembeleeni hapa http://www.ashrehma.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2007

    weka na VULVA, new fragrance hiyo, inanukia kama...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2007

    Mavipodozi haya yanazidisha uzee.
    Huwoni wazungu wana miaka 30 lakini wana makunyanzi kama wazee wa miaka 70 bongo.

    kaa mbali na haya.

    ReplyDelete
  3. karibu bi dada...utupe tips za nini tuoake wapi na wapi tupake nini....maana tumechoka kuchekesha walionuna...karibu tugandamizee

    ReplyDelete
  4. karibu bi dada...utupe tips za nini tuoake wapi na wapi tupake nini....maana tumechoka kuchekesha walionuna...karibu tugandamizee

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2007

    michu sasa bi dada huyu contact zake ziko wapi na yupo ughaibuni nchi gani kama kwa baba bush basi tuambiye state gani au ukerewa tueleze basi, nataka kupendezesha my wife ajisikiye kapata bwana wa mabwana. mkuu weka contact please

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...