
mdau aliye ughaibuni kaanzisha blogu ya mambo ya kujipodoa. hebu mtembeleeni hapa http://www.ashrehma.blogspot.com/
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
weka na VULVA, new fragrance hiyo, inanukia kama...
ReplyDeleteMavipodozi haya yanazidisha uzee.
ReplyDeleteHuwoni wazungu wana miaka 30 lakini wana makunyanzi kama wazee wa miaka 70 bongo.
kaa mbali na haya.
karibu bi dada...utupe tips za nini tuoake wapi na wapi tupake nini....maana tumechoka kuchekesha walionuna...karibu tugandamizee
ReplyDeletekaribu bi dada...utupe tips za nini tuoake wapi na wapi tupake nini....maana tumechoka kuchekesha walionuna...karibu tugandamizee
ReplyDeletemichu sasa bi dada huyu contact zake ziko wapi na yupo ughaibuni nchi gani kama kwa baba bush basi tuambiye state gani au ukerewa tueleze basi, nataka kupendezesha my wife ajisikiye kapata bwana wa mabwana. mkuu weka contact please
ReplyDelete