
Msanii wa kundi la Tribute to Bob Marley Band, Philip Junior wa nchini Netherland akionesha umahiri wa kupiga gitaa mbele ya Waandishi wa habari leo. msanii huyu atakuwepo kwenye tamasha la B-Conected litakalofanyika jumapili ndani ya viwanja vya bustani ya mnazi mmoja gaden ambako kama itakuwa kama yalivyokuwa matamasha yalopita, basi payakuwa hapatoshi


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...