meneja uhusiano wa kampuni ya madini ya farrick gold sauda simba kilumanga akimkabidhi afisa uhusiano wa music may day victoria kimario mfano wa hundi ya thamani ya sh. million mbili za madafu ikiwa ni moja ya mchango wao katika tamasha la b-connected litalofanyika jumapili bustani ya mnazi mmoja gaden

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2007

    Hey, Is not FARRICK is BARRICK

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2007

    Hey is not FARRICK is BARRICK

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2007

    VICKTORIA KIMARIO, LINI UMEINGIA KWENYE FAN YA MUSIC? MIAKA YA NYUMA ULIVYOSOMA KIFUNGILO HATA KISWAHILI HUKU JUA VIZURI , SASA HIYO HUNDI MKIKABIDHIWA MSIJE MTUINGIZA BAGAMOYO(USANII).

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2007

    Wewe Michuzi kazi zako za kulipualipua tu, sasa huoni hata kwenye hiyo cheque inasema "BARRICK" kwenye bango kubwa. Yaani umeshindwa ku copy tu badala yake unaandika "Farrick"?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2007

    JK inawafagilia sana Barrick kumbe ni wezi,jana kontena zao zimekamatwa zikiwaa na mchanga unaosafairishwa nje.Jamani tutaibiwa mpaka lini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...