binti yetu flaviana matata akifurahia usiku wa kuamkia leo wakati matokeo yakitangazwa ambapo yeye amevuka vikwazo na kutinga 10 bora katika miss universe huko mexico, akiwa ni mwafrika pekee kufikia hatua hiyo ya juu. cheki mambo hapo chini...pia jiandae kumpigia kura ya kuingia 5 bora mara picha zao zitapokuwa tayari. haya tena na tukae mkao wa kula...




The Top 10 of Pageant Almanac's Miss Universe 2007 Pageant Playoffs havebeen selected. They are:




Brazil - Natália Guimarães


Greece - Doukissa Nomikou


India - Puja Gupta


Japan - Riyo Mori


Korea - Honey Lee


Philippines - Anna Theresa Licaros


Spain - Natalia Zabala Arroyo


Tanzania - Flaviana Matata


USA - Rachel Smith


Venezuela - Ly Jonaitis




The following 5 contestants were elminated in Round 4:


11. Curacao - Naemi Monte


12. Mexico - Rosa Maria Ojeda Cuen


13. Norway - Kirby Ann Basken


14. Dominican Republic - Massiel Taveras


15. Italy - Valentina Massi




Round 5 will narrow the field from 10 to the Top 5! Voting will begin when photos from the Miss Universe 2007 preliminary competition have been released - Pageant Almanac

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2007

    kaka michuzi pumzika sasa usiku sana,tutampigia kura zitapigwa tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2007

    Afadhali!! Keep it Up Flaviana, Confidence inatakiwaa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 24, 2007

    kulaleki huyu mtoto lazima nimuoe tena hukuhuku hata harudi bongo, memorial weekend mi niko mehiko

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2007

    mi sio mfatiliaji mzuri wa michezo, lakini leo nimeangalia runginga, nikaona hasheem amekuwa drafted 1st pick atachezea Portland trail blazer, ameula kweli kweli wa chuya wanasema atakuwa mchezaji mkali sana NFL na atalipwa dola kibao

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2007

    Maria Sarungi tupe up to dates mara upigaji kura utakapoanza.I feel so proud,nilichukua muda wangu na kumpigia kura....Watanzania wa Ulaya na Marekani hongera kwa kazi nzuri.Lets make it happen this time.Tuhamasishane,tutume taarifa kwa wenzetu ambao hawajui nini kinaendelea.Mungu mbariki Flaviana,mungu tubariki wananchi!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2007

    Kamua Flaviana kamua dada.

    Watanzania wa nyumbani na ugenini tuko nyuma yako. Tunakupigia kura mpaka ushinde

    ReplyDelete
  7. Leo nimegundua hii blog inatembelewa na watanzania feki na originals. Feki ni wale wanaletaga comments zisizo constructive.

    Kwenye issue ya Flaviana na Hasheem sasa naona watanzania originals wameamka,coments mnazotoa zinaonyesha sifa za watanzania halisi, haya shime bega kwa bega tupige kura watanzania ushindi ni wetu safari hii!

    Mungu ibariki Tanzania, viongozi na watu wake dumisha uhuru na HASA UMOJA!!!
    I love u all

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 24, 2007

    Kaka Michuzi apa sio mahala pake lakini kwasababu ya jamaa apo juu amepost issue ya Hasheem then nikaona ngoja nifuatilie kidogo,nimechekicheki kwenye net nimeona kama Hasheem amekuwa drafted na Sacramento Kings for 2008 NBA,please naomba ufatilie hii issue halafu utu update...

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 24, 2007

    Kweli we anon wa Thursday, May 24, 2007 8:50:00 AM si mfuatiliaji wa michezo! Si unyamaze basi! NFL na kikapu wapi na wapi?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 24, 2007

    NYIW WASHAMBA HAPO JUU. HATA HASHEEM MWENYEWE ALISHATANGAZA KUWA ANAJITOA KATIKA DRAFT YA MWAKA HUU ILI ARUDI CHUONI SASA INAKUWAJE NINYI MNASEMA AMECHAGULIWA ANA TEAM. ACHENI USWAHILI!

    http://sportsillustrated.cnn.com/basketball/nba/specials/playoffs/2007/

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 24, 2007

    Yaani nimegundua humu kuna watu wanapenda kuandika upuuzi. Anyway, NBA Draft bado, mpaka June FYI. Iliyofanyika juzi ni Draft Lottery, kupata Timu gani itachagua kwanza etc. Hasheem hajaingia hata kwenye draft sasa achaguliwe toka wapi, he decided to stay in school kwanza to strengthen his skills, so relax people!! Besides, this thread is about Flaviana not Hasheem!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 24, 2007

    dada sarungi,
    tunafurahi na tunazidi kukazana kupiga kura ili ndugu yetu ashinde na sisi tuzidi kujulikana zaidi ulimwenguni.dada sarungi,nimeangalia video ya mahojiano ya bint yetu.hivi jmn kwa nini hatumii lugha yetu ya taifa jmn kwani angekuwa huru zaidi na asingepata tabu ya kutafuta maneno kwani anatumia lugha ambayo ana ubingwa nayo.kuna swali kaelewa vibaya na hakujibu km inavyotakiwa ajibu,nadhani umeligundua hilo.wakalimani wapo wa kumwaga,mtu atapata mshiko wake,lugha yetu itasikika duniani na flaviana ataweza kujieleza vizuri zaidi bila vikwazo.ndugu zangu kubonga si ujanja wala kuelimika na kutokubonga wala si ujinga.binti alishuka na kichina chake na akawa miss.hebu jmn hivi kwa nini hatupendi kuwa huru hata pale ambapo tuna nafasi ya kufanya hivyo.haya tena na kamusi tumepata.chonde chonde dada sarungi tuipende asili yetu na lugha yetu,tena flaviana kwa vile ni kataka kuwa asilia basi na lugha pia ya kigeni aiweke pembeni km alivyoweka pembeni manywele ya bandia na mkorogo.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 24, 2007

    HEHEEEEEE MNALOOOOO !!!

    Eti nikitaka kusema "heheeee mnalooo" kwa kidhungu nasemaje??? Manaake Flaviana kapanda chati kuna raia wa nchi nyingine wamekasirika kama Mrema alivyokosa uraisi.

    Check gubu lao hapa http://www.voy.com/194744/

    FLAVIANA KASHINDA ZAWADI YA KWANZA "The GB Miss Photogenic Award" (Hii ni kama zawadi ya Photopoint aliyotoa Issamichuzi kwa Miss Tz)

    --- nanukuu ---

    Another thing that I don't understand with GB is their unstoppable likeness with Tanzania! What's up with that?

    Ok, say she has a good chance in entering the semi's. But hello, giving her one of the FACE OF THE UNIVERSE AWARD?

    Also TZ is one of the MISS PHOTOGENIC AWARD. It was given to her; note that GB defined it as "The GB Miss Photogenic Award is given to that delegate who is absolutely loved by the camera from all possible angles. This year, a panel of judges evaluated the official photographs, chose 16 semi-finalists and determined the recipient of this year's award."

    Tanzania is also in their best Video Interview? Have you really saw her interview? She isn't eloquent nor classy at all.

    GB has missed a lot of other girls and instead chose TZ. What's up with that?

    As I read before in a forum, I forgot who posted it, I am also beginning to think that GB got a hint that TZ will be one of the GIRL-WHO'LL-GO-FAR-LIKE-MAYBE-AS-A-FINALIST so they are giving out TZ with their GB special awards so they can at least support and justify the TOP prediction placing that they are giving her.

    Was it like just two or three days ago when they got TZ as their MISS UNIVERSE in their starting grid.

    Now really what's up with that?

    ---- mwisho wa kunukuu ----

    HAOOOOO LIMEWAGANDA. SURA ZENU MBAYA KAMA MMELIZWA NA MGANGA

    ReplyDelete
  14. if ever this girl win chochote au hata asipoWIN, huko aliko the 1st congrats shud go 2 MR. MICHUZI.... u hav made all Tanzanians support her wit ur blogspot n updates, 4 that enuf u deserve a MEDAL. Hongera Baba na Shikamoo kabisa.....

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 24, 2007

    Uncle Lundenga umeona hiyo! Sarungi ndio kaanza tena bila ubabaishaji wa kamati uchwara na kafikisha hapo,jee akipata uzoefu? mabinti wa kibongo bomba sana ila ile nanii hii yako ndio miyeyusho.mnataka mle humohumo? loh!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 25, 2007

    Tumwombee Mungu tu.

    Wangemshauri aongee lugha ya kiswahili. Hilo ni shindano la kimataifa na kiswahili siku hizi kina wakalimani kila kona. Wangepata mtu wa kutafsiri.

    Ndio ni a plus sign kuspeak another language lakini inaweza ikamcost taji.

    Swali moja alivyojibu sidhani kama alikua anamaanisha hivyo

    http://www.missuniverse.com/delegates/2007/files/TZ-closeup.html

    Kilichobaki ni sala.

    Lakini hongera hata hivyo umejitahidi sana mwaka huu hata hapo ulipofikia ni ushujaa kwa taifa. Inaonyesha tukikaa chini na kuchagua mtu bila kutazama ni mtoto wa nani kweli tunawatu wengi wenye vipaji sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...