mrithi wa tb na waziri wa fedha wa ukerewe bw. gb akiwa na jk ndani ya 11 downing, mlango wa pili toka 10 downing ambako anaishi na kufanyia kazi tb alietangaza kuachia ngazi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Gordon Brown the future prime minister of UK

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2007

    Wazushi...wasanii

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2007

    Sir Issa..Habari za leo Kaka.."..JK ANAKAMPENI KALI ANAJUA FIKA BAADA YA MUDA WAKE KUISHA NINI ATAFANYA.."..KILA SIKU YEYE TU HEBU WEKA FAMILIA YA RAISI WETU BASI MIMI SIJAWAHI IONA ...NA ILE WEB SITE NYINGINE WASHASEMA SIO RASMI.."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...