naomba wadau wa bwawa la maini tuimbe wimbo huu kutwa nzima. hahahaaa watani wetu mlie tu. tunawangoja mani yu maana mnachonga sana nyie
"When you walk through a storm,
hold your head up high
And don't be afraid of the dark.
At the end of the Storm
there's a golden skyAnd the sweet,
silver song of a lark.
Walk on through the wind,
walk on through the rain,
Though your dreams be tossed and blown.
Walk on, walk on with hope in your heart,
And you'll never walk alone.
You'll never walk alone......"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2007

    Mimi siyo mwogeleaji wa Bwawa la Maini, lakini nilifurahishwa sana na kile kitendo cha kuwakata NGEBE Chelsea. Hao ndo walikuwa wanachonga zaidi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2007

    Mi si Chelsea, lakini jamani tukubali kama Bwawa la Maini ni watu wa kubahatisha tu, utani utani mpaka wanachukua kombe!!!
    Any way! hongera michuzi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2007

    Jikwamueni na utumwa wa kiakili, pendeni vya kwenu na si vya wenzenu. Ama kweli kazi waafrika tunayo.

    ReplyDelete
  4. Hongereni sana bwawa la maini kwa kumfunga mdomo MOURIHNO maana kuongea ndio jadi yake chelsea hakuna mpira wana propaganda nyingi sana na wanajua kuchonga sana huku wakiingia kwenye PITCH hakuna kitu BRAZA MICHU sisi MAN U tunwasubiria fainali maana leo ANCELLOTI apate kipigo na atakumbuka yaliyomkuta akiwa anafundisha JUVENTUS.

    ReplyDelete
  5. JOSE MOURINHO KIBARUA KINAANZA KUOTA NYASI TARATIBU ISIJE IKAWA KIPIGO CHA BENITEZ NDIO KIKAMFUKUZISHA KAZI CHALSII

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2007

    LIVERPOOL LIVERPOOL LIVERPOOL, LIVERPOOL LIVERPOOL LIVERPOOOOOOL, LIVERPOOL LIVERPOOL LIVERPOOL, LIVER-POOL, LIVER-POOOOOOOOOOL!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 02, 2007

    Kaka Issa, do we need to prove anything? Nadhani sasa Chelsi wameshajua kwamba Champions League is the football of men and not of boys like Premier League!!!!!

    Never, never, never, never, never..........Ahhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 02, 2007

    mmeabahatisha tu Mr michuzi hamna lolote ninyi kama vp tukutane kwenye ligi ya nyumbani

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 02, 2007

    Champions League ni shughuli ya wananume, na wanaume ni Liverpool. Inanikumbusha soka la Bongo Yanga na Simba. Ikija kwenye soka la kurogana na kuhonga waamuzi Yanga wanajishebedua kweli kweli, lakini tukiiingia soka la nje Simba ndiyo Walume.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...