naomba wadau wa bwawa la maini tuimbe wimbo huu kutwa nzima. hahahaaa watani wetu mlie tu. tunawangoja mani yu maana mnachonga sana nyie
"When you walk through a storm,
hold your head up high
And don't be afraid of the dark.
At the end of the Storm
there's a golden skyAnd the sweet,
silver song of a lark.
Walk on through the wind,
walk on through the rain,
Though your dreams be tossed and blown.
Walk on, walk on with hope in your heart,
And you'll never walk alone.
You'll never walk alone......"


Mimi siyo mwogeleaji wa Bwawa la Maini, lakini nilifurahishwa sana na kile kitendo cha kuwakata NGEBE Chelsea. Hao ndo walikuwa wanachonga zaidi.
ReplyDeleteMi si Chelsea, lakini jamani tukubali kama Bwawa la Maini ni watu wa kubahatisha tu, utani utani mpaka wanachukua kombe!!!
ReplyDeleteAny way! hongera michuzi!
Jikwamueni na utumwa wa kiakili, pendeni vya kwenu na si vya wenzenu. Ama kweli kazi waafrika tunayo.
ReplyDeleteHongereni sana bwawa la maini kwa kumfunga mdomo MOURIHNO maana kuongea ndio jadi yake chelsea hakuna mpira wana propaganda nyingi sana na wanajua kuchonga sana huku wakiingia kwenye PITCH hakuna kitu BRAZA MICHU sisi MAN U tunwasubiria fainali maana leo ANCELLOTI apate kipigo na atakumbuka yaliyomkuta akiwa anafundisha JUVENTUS.
ReplyDeleteJOSE MOURINHO KIBARUA KINAANZA KUOTA NYASI TARATIBU ISIJE IKAWA KIPIGO CHA BENITEZ NDIO KIKAMFUKUZISHA KAZI CHALSII
ReplyDeleteLIVERPOOL LIVERPOOL LIVERPOOL, LIVERPOOL LIVERPOOL LIVERPOOOOOOL, LIVERPOOL LIVERPOOL LIVERPOOL, LIVER-POOL, LIVER-POOOOOOOOOOL!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKaka Issa, do we need to prove anything? Nadhani sasa Chelsi wameshajua kwamba Champions League is the football of men and not of boys like Premier League!!!!!
ReplyDeleteNever, never, never, never, never..........Ahhhhhhhhhh
mmeabahatisha tu Mr michuzi hamna lolote ninyi kama vp tukutane kwenye ligi ya nyumbani
ReplyDeleteChampions League ni shughuli ya wananume, na wanaume ni Liverpool. Inanikumbusha soka la Bongo Yanga na Simba. Ikija kwenye soka la kurogana na kuhonga waamuzi Yanga wanajishebedua kweli kweli, lakini tukiiingia soka la nje Simba ndiyo Walume.
ReplyDelete