dar inazidi kupendeza kila siku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2007

    Hiyo umepiga leo sikukuu ya wafanyakazi! Haiwezi kuwa kimya na safi namna hii siku ya kazi. Rudia kesho tuone tofauti!

    Hata msongamano wa magari hakuna!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2007

    Hiyo umepiga leo sikukuu ya wafanyakazi! Haiwezi kuwa kimya na safi namna hii siku ya kazi. Rudia kesho tuone tofauti!

    Hata msongamano wa magari hakuna!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2007

    Nimekubali ISSA, utadhani mamtoni. kamata zawadi kwa kupiga picha hii, inatokea Uganda, huyu youtube user ana miziki poa sana, bofya HAPA kwa sampuli

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2007

    zawadi ya pili bofya HAPA2, hii ni kali aisee, bado yanatokea sio

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2007

    Michuzi DAR inaonekana iko super, nafikiri hii picha uliipiga jumapili au kulikuwa na msafara wa rais ndiyo maana magari hakuna. Siku za kawaida kukiwa na foreni hapo DAR utaona inatia kichefuchefu, kuna siku (Siku Kikwete anarudisha form za kuwania urais kwa msajili wa vyama za siasa) nilitembea kwa mguu toka jagwani mpaka posta mpya kwa sababu foreni ilikuwa haiedi kabisa. We acha tu Mungu ibariki BOngo.

    Zumba's

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 01, 2007

    acha kutuchuuza Michuzi, Dar inapendeza vipi wakati hata maji hakuna? Sema vumbi linaongezeka. Maji shida, usafiri ndio shida, magari yamezidi msongamano barabara, msongamano wa watu ndio hivyo..ila inajitahidi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 02, 2007

    SILENT STALKER says......"Kaka naomba nikupe hongera kabla hujapost, maana sauti imekauka kwa kushangilia...Usishangae mimii MAN UTD lakini nilikua nataka Morinho angoke safi sana. Tutakatana finale"

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 02, 2007

    michuzi nimekubali!!hebu kama unaweza ntolee picha ya kule nyumbabni mtoni mtongani maana nako nasikia maghorofa yanaporomoshwa kama mvua ya mawe.

    ReplyDelete
  9. Diuuuuuuun si mchezo kweli kunapendeza hata karatasi silioni mtaani,bongo New York siku hizi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 02, 2007

    We blackies, unakaa New York ya wapi? Au unaota ndoto nani kakuambia New York hakuna karatasi barabarani. Njoo ujionee panya na mende kama kazi. Msidharau mlikotoka: by the way mimi niko USA pia.

    ReplyDelete
  11. Hey ,its a figure of speech mate.sikuwa naamanisha hivyo kama intire new york ni safi,surely kuna some place are nice and clean over there.what i meant was,bongo kumekolea naaminia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...