Home
Unlabelled
wanja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uwiiiiiiiii Dude linatisha!!
ReplyDeleteMichuzi usiseme kwamba hapo ndio washamaliza itakuwa typical bongolendi yaahi hamna hata lami??!!! i seriously hope its not complete yet.
ReplyDeletei hope hilo barabara la vumbi watatengeneza na kuweka lami safi ya kisasa
ReplyDeleteMi nataka kujua tu kuwa hivi ule mnara wa kumbukumbu ya ndege ya kijeshi iliyoanguka wakati wa Gwaride la Kijeshi mwaka 1979 bado upo pale pembeni; sasa uko kwa ndani ya uwanja; au wameubomoa? Kama wameubomoa si matumizi mabaya ya pesa za umma haya jamani? Mweeh!
ReplyDeleteMzizima stadium hilo. safi sana.
ReplyDeleteTumeshakula n'gombe mzima umebaki mkia tu;
- access road ipigwe lami
- ijengwe parking ya magari 1,000, isakafiwe lami
- mkakati endelevu wa uendeshaji wa hilo wanja
uwanja wa watu 60 alfu ijengwe parking ya magari 1000 we una akili ama tope! sina mana ijengwe parking ya magari 60 alfu ila 1000 vilevile kidogo sana!
ReplyDelete