Home
Unlabelled
desa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nakupongeza Issa Michuzi kwa ubunifu wako na kwa kutumia taaluma yako kujiajiri na mafanikio yanakujia kwa kasi ya Tsunami!!!!!!
ReplyDeleteHongera sana!
Michuzi, wewe ndiye ulikuwa na SCOOP na hii story!
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema Mbinguni.
Lakini where are the journalistic ethics? Watu wa Kiu walikuomba ruksa?
Hahaha kaka nashukuru sana kwa kuna hata wewe mdau wa habari unawakosoa hawa wadau wenzako wa habari,, kwa kweli ni aibu sana kwa gazeti hili la kiu kudesa story kwenye blog hii mahiri ukizingatia sisi tunaotembelea hii blog tulishazipata hizi news siku nyiingi leo wao ndo wanaitoa,, hii ni wazi kwamba magazeti hayo yameshindwa kazi na yanachofanya ni kutoa taarifa ambazo wenzao wamepoteza pesa na muda kuhangaikia kuzitafuta then wao wanakuja kudesa kwa ulainiii,, hii ni aibu sana kwa kweli wewe mmiliki wa kiu kaa chini na media reporter wako uwaelekeze maadili ya kazi, na ndio hawa hawa wanaoingia kwenye web kama hi5 wanacopy picha huko then kesho tunaona kwenye magazeti yao... Noma wazee wa kiu angalieni njia nyingine za kutafuta habari,, yani ni kichekesho haswa nyie mmedesa kwenye blog ya michuzi leo mnaiweka front page kila kitu mlichodesa alafu mnaongezea eti LUNDENGA HANA TAARIFA,,, muwe na aibu jifunzeni kutafuta habari zenu,, Ingekuwa busara sana kama mngeweka angalau story isiyofanana na tuliyoisoma kwenye blog yetu hii maridhawa.... Keep it up Brother Michuzi achana na hao wanadesa desa maana hata sasa hivi ukiandika kuwa miss Tanzania amefufuka wao wataandika hivyo hivyo bila hata kufanyia uchunguzi habafri yenyewe kama ni ya kweli au la, maana wameshazoea kudesa
ReplyDeleteUkianzisha kesi hapa Michuzi, unalipwa mamilioni. Lakini mpaji Mola, walitakiwa wataje source ya picha. Magazeti ya udaku haya. But si unawajua binafsi maana nawe ni mtu wa nyuzi. Lakini, wasukuma wanasema "familia ya mwoga nayo ni familia pia", so, waachilie mbali! But inauma. Wangetaja picha inakotoka, kwanza usingenenepa kwa hilo, kwani mbona "Picture by Muhidin Issa Michuzi", ni household sentence. Nawasilisha, endeleza libeneke, nakuzawadia, kong'oli HAPA ADDICTION
ReplyDeleteMichu usiwapongeze Lazima watoe credit, Kuwa wametoa wapi stori? hiyo ni haki miliki, otherwise wakulipe kwa makubaliano mtakayo patana. Wajue kuwa kudesa na kujifanya kuwa wewe ndio originator wa story ni illegal. Sheria za Kimataifa zinataka kazi ya mtu inapochukuliwa itaje originator mpaka miaka 70 baada ya kifo cha originator. Sasa hapo Michu ndipo pa kuonyesha kuwa Everything we do is business kama wao walivyoona ni stori ya kuuzia gazeti, vinginevyo 50% of the sales profit wakupe wewe.
ReplyDeleteAMINIA KAKA MICHUZI KWA HILO NA MENGINEO NIMEKUKUBALI BIG UP BLOG YETU.
ReplyDeletemichuzi hiyo ni haki yako bwana, we umetumia rasimali kutafuta habari halafu wenyewe watengeneze hela bure? file a lawsuit hommy, thats completely unethical bora wangekuomba. we support you uwamuzi ni wako
ReplyDeleteUSIKUBALI KAKA WABANE HAO KIU.. IWEJE WEWE UCHACHARIKE KUITATUFA HABARI HII KWA UDI NA UVUMBA ALAFU WAO WEDESE KILAINI NAMNA HIII... DUU KWELI HAO KIU NI KIBOKO... KATA KIU NAO USIKUBALI... TUTAKU-BACK... HAHHAAAA
ReplyDeleteNDIO TATIZO LA WAANDISHI WA BONGO KAZI KUKOPI TUU...
ReplyDeleteSIJUI TUTAFIKA KWELI!!!!!!
Aaah Misuou kumbe ulikuwa bado umelala!!?? Yaani kuna magazeti kibao tu hapa Bongo (both ya udaku na ya kawaida) ambayo yanatumia picha zako toka humu humu kwa Blog yetu hii. Anza biashara ya picha bwana kama AFP
ReplyDeletecopyright issue
ReplyDeleteMichuzi basi tumemchoka kha!!!
ReplyDeleteMwe!
Michuzi,
ReplyDeleteUsikubali hawa jamaa wawe wana-copy story toka ktk hii Blog 'Yetu'.
hawa jamaa wa udaku sio watu wa kuwachekea kabisa, siku wewe unakuwa story hawajui nini wala nini, wanakuanika hewani. Wabane wakulipe MRAHABA.
Sijalisoma hilo gazeti, lakini kwa jinsi ilivyokaa hiyo cover page imekaa ki-commercial sana. wanaandika vitu kimtego ili wauze nakala. wanawalaghai sana wa-TZ ambao sio watu wa kupata newz toka different sources.
Pongezi michuzi kwa kutoa habari when they happen.
Michuzi,
ReplyDeleteWasemehe tu hao. hiyo itakuwa ni adhabu tosha kwao.Ni vijana wadogo ambao wanahitaji ushauri nasaha na wakikua wataacha.
we mwenyewe si umeshuhudia spika Sitta alivyomuadhibu yule mbunge wa kisarawe!, alimsamehe.
Mimi nilishawahi kusema kuwa wanahabari wa bongo wengi ni Reporters. hawafanyi uchambuzi au uchunguzi makini.
hili ni bomu kubwa ambalo linaifanya taaluma ya habari kuwa kichaka cha wajanja na kuifanya jamii ya kitanzania kudumaa kifikra.
kila kukicha ni ziara za viongozi na masakata yanayozungumziwa vijiweni.
mnahitaji kubadilika wanahabari wa bongo. challenge kwenu.
we michuzi kweli umepagawa sie wazungu wakiubania hela ya box lazima tufike nao kwa pilato we unaona poa tu watu wapandie mgongo wako?duh bongo nuksi tutaozea unyamwezini waambie kiu waje huku tuwale hela za bure, okay we ona haya
ReplyDeleteWasamehe, maana hawajui walitendalo
ReplyDeletePole michuzi, ila usije ukafanya kama kwa http://www.blog.co.tz/mrocky/ maana kule ana picha nzuri ila huwezi zinyofoa na nyingine kazipiga chata ndo maana ana wateja wachache
ReplyDeletewe anony wa may 05,2007 10:37:00 acha ujinga mtu anatafuta haki yake unasema umechoka,umechoka nini we fala nini?,Michuzi ameanika hapa hii picha sio kama hajamind hao jamaa kudesa kwenye hii blog yake amemind na ndio maana ameanika hapa kupata ushauri sasa wewe unasema kama shoga tumemchoka uko timamu kweli wewe?
ReplyDeleteNimesoma kiu nimeshangaa, lakini pia hii ni huruka ya Watanzania waliowengi, hata baadhi ya vyuo anachukua kitu na kukitumia bila hata kutoa source.
ReplyDeleteAnajifanya kua ni cha kwake. Unaweza kufungwa inabidi watanzania tujifunze kuheshimu kazi za watu walitakiwa kutoa source ya information.
COPY AND PASTE,kwa kweli ni aibu kwao,hawa ndiyo wanaotakiwa kuundiwa bodi ya kuthibiti uandishi wa habari.Lakini cha ajabu ni kwamba hawataki hiyo bodi iwepo ili kuwaondoa watu wa kudesa kama hawa.Mbona wengine kama wahasibu,mainjinia nk wana regulatory bodi wao wanaogopa ni?kama siyo UKIHIYO unawasumbua?Vile vile wanatakiwa at least wawe na degree ya kwanza ili uwe mwandishi wa habari nayo hawataki,mbona majirani zetu waliweka utaratibu wa kuwa na degree ndiyo unakuwa mwandishi wa habari,sasa tutawezaje kwenda sambamba katika jumuia ya Afrika mashariki?HEBU NAOMBA WADU TULIJADILI HILI kwa mnufaa ya nchi yetu
ReplyDeleteDu e bwana ndio hata mimi huyu dada sasa nimemchoka,
ReplyDeleteHuyo anony anaempinga huyo apo juu ni kapento
mchxxxxxxz zake!
Chemi, sidhani kuwa hizi blogs zina copy-right kwa haya yanayoonekana humu na ndio maana hamuwezi kushitakiwa mnapomvunjia mtu/any other party heshima.
ReplyDeleteAu inawezekana Abubakar Liongo ndie aliyeuza hiyo stori kwa hilo gazeti (pia inawezekana Issa Michuzi hakumlipa ndg Liongo hela ya kuwa 'exclusive' story ktk blog yake)
Mwenye mtazamo au mawazo tofauti naomba anisaidie kwa hili.
Sasa hapa mnamshauri nini Michuzi wakati ye mwenyewe anatumia kazi za watu bila Citation mara ngapi anaweka picha bila kusema chanzo!!? hata hiyo ya Miss Tz wa kwanza alipiga yeye? msiwe washabiki kwa kila kitu kila habari lazima ina chanzo chake!! Hiki ni chanzo kimojawapo yeye ka Blog wale wametoa gazetini mtu wa Mlimba kijijini, Nyamilama, Mwamashimba, ibanda Kicheba kwa Semkope anasoma Blog? muwafikirie na wengine huko ndio mseme. anyway hongera Michu kwa kuwa chanzo tegemezi cha Newzzzzzzzzzzz!!
ReplyDeleteWABONGO ACHENI KUJADILI KITU MSICHOKIJUA WALA MSIJIFANYE ETI KUMSHAURI mICHUZI AFUNGUE KESI YA KUDAI FIDIA HAMJUI HIZO HABARI GAZETI LA KIU WAMEZIPATA WAPI HIYO HABARI MTU ALIYEMTUMIA HUYO MICHUZI NDIO HUYO HUYO AMEUZA HUKO KTK GAZETI LA KIU NYIE MNAUHAKIKA NA MNACHOSEMA AU NI KUFURAHISHA BARAZA TU?MWAMBIENI AJARIBU KUDAI HIYO FIDIA BASI KAMA ATASHINDA HIYO KESI.MSIDANGANYIKE NA HIZO BOX ZENU NDIO KUJIFANYA MNAJUA KILA KITU
ReplyDeleteTumeshamnasa Kilaza mmoja ni Anon wa 1:51am, inaonyesha huyu ndio mtaalam wao wa kudesa kwenye mitandao na kupaste, wewe kama hukutembelea humu na kuchukua hizi picha na stori umejuaje kama kuna mjadala unaendelea wa kukujadili wewe mdesaji mkubwa. Acha hizo tafuta habari au kwa kuwa wewe ni mdaku ndio maana hata huchukui wajibu wa kuchuja habari copy and paste mkubwa wewe. Tena uache unalitia aibu gazeti lako, mi nilidhani utaomba msamaha wadau tukusamehe, kumbe bado unajileta kichwa mbele na kusema umenunua stori alikonunua Michuzi kama si udaku ni nini.
ReplyDeleteUnajishushia hadhi wewe hebu kubali yaishe wewe Mdaku mdakuzi mwizi wa stori za watu unajifanya umenunua. word to word?.
Tulianza kukusamehe kwa kuwa wewe ni kilaza kumbe unajifanya unajua eee. Mdakuzi mkubwa wewe, omba udeseshwe sio kudesa bila ridhaa ya kipanga wako.
Kwa wasiopitia UDSM.
Kilaza = Shule haipandi a.k.a zero
Kipanga = everything is A
Hahaha ama kweli hili anon la 1:51 ndilo haswaa lililodesa story yote na kupaste kwenye gazeti lao la kishanba,, kwanza gazeti lenyewe linasomwa na wanafuzi wa secondary tu na ni wa kidato cha kwanza na cha pili tu wale ambao tayari akili zimeanza kokomaa hawawezi kutoa pesa yao kununua ujinga kama KIU,, na huyu anon ndiye huyu huyu anafanya kazi na hilo gazeti la kiu,, sasa kama kweli wewe anin umenunua hizo picha na story yenyewe kwa mtu aliyempatia Issa wa Michuzi story yote hebu tuambie anaitwa nani na anafanya shughuli gani na yupo wapi kwa muda huu,, maana kwa taaria alizotupa Michuzi yeye alizifuatilia kwa kina habari hizi na alianza siku nyingi kuweka Picha za huyu marehemu kwenye blog yake kabla ya kutuwekea habari kwamba Miss Tz wa kwanza Theresa Shayo hatupo naye tena,, na hii story hakuuziwa alifanya mawasiliano na mtu huyo tunayekuomba ututajie then akawa anampoa details zote sasa kwa jinsi ulivyo mbumbumbu we leo unatuambia eti ameuziwa hiyo sory dah aibu kaka wala usijaribu kubisha hii sory umedesa bwana we kubali omba msamaha wadau tukubali kukusamehe sio unaanza kujitapa nakutoa dharau zisizo na msingi, Kitu cha pili ni heri hao tunaobeba box maana wanajua nini maana ya haki miliki kuliko wewe unayezunguka juani kutwa nzima alafu unakwenda ku coppy story yote unaiweka kwenye gazeti lako na still bado unabanwa kwenye saraly na huyo mliliki wa hilo gazeti lenu bovu sasa nani mjanja hapo? acha ushamba watu wanatoa hoja zilizoenda shule sio ujinga kama wa kwako.... JIREKEBISHE.
ReplyDelete