Home
Unlabelled
maneti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi marehemu Maneti alikufa na nini? Sikumbuki ni muda mrefu kidogo
ReplyDeleteKweli ndio maana tunaona kila mtu anaimba siku hizi. Tunahitaji kuziba pengo kwa vile tumepoteza sana wanamuziki wetu wengi na walikua wazuri sana.
ReplyDeleteSidhani kuna mtu ataweza kufill their shoes.
RIP
Anon wa 11:36am, jibu lako ni kwamba Hayati Manet alikufa na KUZIKWA, alitaka afe na nini hebu tuambie kama unjibu zaidi ya hili.
ReplyDeleteAha kumbe ni wewe Pimbi, sikujua kama ni pimbi kiasi hicho hujui mtu anakufa na nini?. Nafikiri kamuulize Zena atakwambia kilichomuua Manet, bado wewe.
ReplyDeletewe pimbi pumba kweli unataka nini hasa kujua kilichomuua? mtu amekufa basi, pumzika kwa amani maneti!
ReplyDeleteHilo swali hapo juu halina maana au maslahi kwa muulizaji au jamii.
ReplyDeleteMuulize Kida Waziri
ReplyDeleteHakika hayati Hemed Maneti Ulaya atakumbukwa sana katika medani ya muziki wa dansi nchini.Maneti alijaaliwa kuwa na sauti adhimu iliyokoleza utamu wa nyimbo alizokuwa akiimba.Kadhalika mwana huyu wa Maneti alijaliwa kuwa na kipaji cha utunzi. Sauti yake ilitamba sana enzi hizo akiwa na Vijana Jazz Band wana Pambamoto. Katika nyimbo za Wifi, Penzi haligawanyiki,Bujumbura na Tambiko la Pambamoto sauti ya al-marhum Maneti imesikika vilivyo. Akishirikiana na marehemu Eddy Shebhughe Sheggy, Mawanzo Hunja, Rashid Pembe, Kida Waziri na wengineo aliweza kuiweka katika chati ya juu kimuziki bendi ya Vijana Jazz.
ReplyDelete