Home
Unlabelled
iowa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sir Issa vipi MAALIM..MMEPENDEZA PICHA NZURI KAKA..STAILI YENU AU POZI SAFI SAAANA...WEWE UMEJITAHIDI KUSHIKILIA... YEYE MKONO WAKE WA KULIA UKO WIMA....INAPENDEZA.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteBlog yako iko juu mzee. Labda mwenyewe hujui tu.
Angalia takwimu zako katika Alexa http://www.alexa.com/data/details/traffic_details?url=http%3A%2F%2Fissamichuzi.blogspot.com
Yaani blog yako inatembelewa na zaidi ya nusu ya watumiaji wa mtandao walioko nchini Tanzania, na karibu na watanzania wote walioko nje ya nchi. Kuhusu takwimu za watumiaji internet Tanzania wanakadiriwa kufika 330,000 (cheki hapa http://www.internetworldstats.com/stats1.htm)
Hongera sana Michuzi, umekuwa Mzee wa Mafanikio na changamoto kwa wajisiriamali kama mimi.
//Dar Millionaire
he ncia ,mara hii ushafika home,aminia,wasalimie bwana
ReplyDeleteHivi Iowa iko wapi?? hahahahaha obviously ni kijijini kwa hapa US maana niko hapa miaka 15 lakini sipajui hahahah.
ReplyDeleteKAKA MICHUZI,HIVI HUWEZI KUPIGA PICHA NA HAWA AKINA DADA BILA KUWAGUSA?? KILA PICHA UPIGAYO MARA UMEKAMATA NYONGA OOHHHH,ANGALIA BWANA UTALOGWA KUSHIKASHIKA VIUNO VYA WATU.LEO UMEJITAHIDI KUGUSA BEGA TU SIJUI HUYO MTOTO KAKUGOMEA KUMSHIKA NYONGA. SIE BADO TUNAKUPENDA.
ReplyDeleteJe umepiga michuzi, picha? manake si haba mtoto
ReplyDeletesikujua kwamba watanzania walio nje ya nchi ni washamba kuliko ndugu zetu walio vijijini...
ReplyDeleteSasa wewe anoni uliekaa US miaka 15 ndo umeongea nini?
Mara hukujui Iowa...mara ni kama kijijini hapa US...
Ungeweka email address yako ningetusi mpaka utume koments nyingine kuwa umekwisha elimika.
Asante mrembo kwa kuniambia kuwa upo,ntakutafuta hi5!
KAMA KWELI WEWE UMEISHI MAREKANI MIAKA 15, BASI HUISHI MAREKANI BALI UNAISHI MERERANI, BONGO AFRIKA JULA KALI.
ReplyDeleteMI SIISHI MAREKANI LAKINI NAKUMBUKA KWENYE UCHAGUZI MKUU ULIOMWEKA IKULU G. BUSH, IOWA NI MIONGONI MWA MIJI ILIYOKUWA IKITAJWA SANA KAMA ITAAMUA MSHINDI WA UCHAGUZI WA RAIS KWANI KURA ZA WAGOMBEAJI KATI DEMOCR. NA REPUB. ZILIKUWA ZINAKARIBIANA SANA.
KWA HALI HIYO SIAMINI KAMA KWELI WEWE UNEDAI UMEISHI MAREKANI 15, HUJUI IOWA IPO WAPI. USELESS RUDI KWENU UUZE VITUMBUA NA MAANDAZI UPATE KULA YENU.
Huyo anayeishi U.S. halafu haijui Iowa yeye ndio waajabu. Iowa ni state inayojulikana sana U.S. Hiyo miaka 15 umeikalia U.S. ya wapi, au una imagine?
ReplyDeleteNsia mamii u just had to go to Michuzi huuh? Injoi bongo bwana.
ReplyDeleteshurti kwa michuzi bibie
ReplyDeletemichuzi blog ni power house inaangaliwa kila kona nani atajua niko bongo nisipoenda kwa michuzi?
Michuzi na miye nakuja June nikuone wapi? Kwanza karibu kwenye harusi yangu.