Home
Unlabelled
jide
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Umependeza DADA JIDE ila tunaomba uwakilishi mzuri na wa HESHIMA kwa TAIFA letu la TANZANIA !!!!
ReplyDeleteTatizo lenu nyie watanzania including wewe Michuzi mnapenda kujifagilia saana as if mmfikia kiwango cha kimataifa. Mmenza kuwafagilia kuanzia Taifa Stars, haya, hao Mabongo flava i.e jay d, Juma nature, Pof J na wengi tu lakini ukweli hao wote ni wapiga "TOMILE" tu huwezi hata ukauza CD zao nje ya Tanzania hali kadhalika kwa wachzaji wetu wa Taifa Stars.
ReplyDeleteHivi watanzania tutajua lini kuthamini chetu, huu unyonge utaisha lini?we anony kama usipofagilia chako nani atafanya hivyo.
ReplyDeleteNdio maana watani zetu wa jadi tunaoishi nao ughaibuni wanadai wasanii wa bongo flavor ni toka kwao kwa sababu nyie wenyewe mnawaponda!
Anonymous Thursday, May 2003,2007,12:23:00Pm,
ReplyDeleteIt's so sad that you would discard so easily the efforts of others who try to make it in the outside world.
For you information, I live in Dubai and occasionally we get to hear music from Tanzania played on the local stations e.g. Zeze etc. Funny enough there was a computer shopping selling laptops and one of the CD was playing bongo flava songs.
Just because you can't make the effort in trying to do something don't put others down with your coward!
Not all who are at the top made it through the easier way out. There are those idiots who say they can do something but don’t do it and there are those brave ones who against all odds go out and do it. You belong to the former option.
I support my country men in bringing TZ to the forefront, through failures they will get better.
TRUE KABISA... HUYO ANON NI WA PILI NI PUMBAFU KABISA NA BADO ANA KASUMBA ZA KIUTUMWA UTUMWA.. BICHWAA BOVUU HAPO ANATAKA KUFAGILIA MATAIFA MENGINE..
ReplyDeleteNAKUBALIANA KABISAA NA ANON WA TATU NA WA NNE KUWA THATS IS THE ONLY WAY TO GET THRU SIO RAHISI HATA HAWA TUNAOWAONA HUKU NJE YA NCHI WAMEFIKIA WALIPO KWA SHIDA IT WASNT THAT EASY..!!
JAY D NA WENGINEO WELL DONE AND KEEP IT UP!! HAWA WASHENZI WASIWAKWAZE KWA NAMNA YOYOTE ILE.. HATA MTOTO ANAANZA KUTAMBAA NDIO KUTEMBEA SO GO ON GIRL.. SHOW THEM WHAT YOU HAVE MADE OF!!!
NA MICHUZI ENDELEA KUWAFAGILIA NA IKIBIDI KILA ZIARA WANAYOFANYA NJE UKINYAKA NYUZI TUTUPIE HUKU WALAO TUJUE KUWA SASA SIO MAMBO YA KUBABAIKIA WAKONGO AU WAMAREKANI...!!
INATOSHA KWA LEO
Haya mambo ya kuponda kwetu yanaathiri hata uchumi kama hatujui tu.Nimekuwa napitia nyimbo mbalimbali za bongoflava na mizike mingine ya Ki-Tanzania ktk YOUTUBE nakuta comments za wakenya wakionyesha ulimwengu kuwa hao wanamuzuki ni wao.
ReplyDeleteUtakuta wanaandika, kwa mfano "this song is still hitting in Kenya".Wachangiaji wengine wanapata impression kuwa jamaa wakenya pia.Wabongo wengi utaona wanaandika mara ooh jide sio mzuri(tena kwa kiswahili) na maneno mengine ya kukandia.
Kumbe hatujui kuwa kuna risk-taking tourists wanaweza kuja kwetu kwa kuvutiwa na muziki na mambo mengine wayaonayo humo.
Najaribu kuwabeba(wanaobebeka)kwa maneno ya kuonyesha kuwa wao wanatoka nchi nzuri,kwa mfano: "big up Lady Jay-Dee, big up Tanzania-authentic Africa;the land of Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro & Serengeti".
Silipwi na mtu ila nina imani ninaweza wavuta hata watalii wawili(per year) kwenda Tanzania.Madola na mapaundi yao yanaweza kuleta tofauti ktk uchumi kama yatatumika vizuri.Pia nawapa moyo hao kina JD na wengine wajitume zaidi ingawa music piracy is draining their energy.
Tuenzi,tuthamini,tusifu na turekebishe vyetu.Vitatufaa siku moja.Safari hatua!
Tanzanianboy!
wewe anon unayekandia wanamuziki na mastar wa bongo umechemka kweli, this guys are going in good directions and they will make it, unajua nini jana mida ya mchana nilikuwa nimepoa na home na washikaji video ya AY (mademu watafutaji) ikapigwa kwenye mtv jams na ilikuwa proud moment for me kuwaambia this guy is from my country and the language you hear is swahili.
ReplyDeletemie binafsi nawashangaa sana watu ambao tuko nao huku ughaibuni sana sana USA,kazi kukandia mziki wa kwao,mimi binafsi nilishaulizwa na wamarekani weusi kwamba wewe unapenda mziki yetu,inaonekana hakuna miziki kabisa unakotaka,sikatai kila mtu kipenda roho lakini haina haja ya wabongo kuwadiscourage hawa vijana,kama hupendi huna haja ya kusikiliza waache vijana wajipatie riziki,michuzi tena fagilia bongo flava wala usikonde na malooser.
ReplyDeletebora bwana mmempaka huyo anonymous wa pili, ningeanza mimi naona asingeendelea kusoma tena mipasho inayofwata, yani mpambafu sana! hili jamaa ndio hata mista ebo alimponda kwenye songi yake kwamba unavaa flana imeandikwa I love New York, wakati hata hujawahi fika watu bwana ! tena ashindwe na alegee kwa jina la Muumba, Michuzi kaza buti mwaego!! we still need your handwork!! Kazi ya mikono yako ibarikiwe!!
ReplyDeleteSir Issa..USTAADHI ..TUNASHUKURU SANA KWA BLOG YAKO MZEE...NAONA NAMBA YA WACHANGIAJI MAWAZO INAZIDI KUONGEZEKA...HATA WENZETU WA..."...NCHI NYIGINE WANAOFAHAMU KISWAHILI..."...WANACHANGIA MAWAZO YAO...MUNGU IBARIKI TANZANIA...
ReplyDeletebongo tupo juu sana kimuziki east africa tunapasua huwezi kulinganisha na wakenya waganda wa rwanda na burundi ndo kabisaaa na tuna nusa nusa so9uth ttizo ni quality ya studio zetu zile bomba ni chache nyingi uchwari inshort pfunk na mj au g2 kidogo ndo aminiyaa!
ReplyDeletekatika wwanamuziki JIDE ndo yupo juu ana sauti na anahela mbaya ananufaika sana na huu mziki. Juzi katoa wimbo siku hazigandi kwakuwa kazidi kuandamwa na magazeti sijui mbaya sijui anamatusi etc sasa swali moja...HUO UBAYA WAKE UNAHUSIKA NINI NA MUZIKI WAKE AU MAFANIKIO YAKE????? sio tabia nzuri mi huwa inaniuma sana. Ndio klyin bomba sana rayc mvaa uchi okie anajicho flani japo nae make up sementi lakini hawafikii uzuri wa sauti quality za nyimbo na mafanikio ya JIDE>...poleni haterz. ...