mdau joji alieko kameruni akiwa na waombolezaji wengine kwenye misa maalumu ya wahanga wa ajali ya ndege ambao ni mabosi wa mtn cameroun jana. tuwaombee wafiwa nguvu katika wakati huu mgumu na tuendelee kumuomba Jalali aziweke roho za marehemu mahala pema peponi - amin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2007

    Du ee bwana michu kweli kurukia jambo bila kusoma ni noma mkuu. Unajua mawazo yangu yote yalikuwa kwenye maonesho ya communication karimjee. Aisee poleni sana wafiwa ni kazi ya mungu ndio maana jamaa kaonekana kanuna kumbe majozi.

    Michu piga chini hiyo ya mwanzo usiirushe. sikusoma habari mkuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...