
waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. muhammad seif khatib akiwa na sheikh abdillah nassir, mmoja wa watunzi watatu wa kamusi mpya ya kiswahili kwa shule za msingi za afrika mashariki leo wakati wa uzinduzi wa kamjusi hiyo iliyochapwa na oxford university press hoteli ya kilimanjaro. kamusi hiyo ya toleo la kwanza imesheheni maneno mengi mapya


HOTELI YA KILIMANJARO NDIO IPI TENA HIYO?
ReplyDeleteBwana bongo kuzuri. Umeona hayo maua yalivyo mengi na fresh.
ReplyDeleteHome sweet home.