mjomba mambo,

Hii ndio timu ya wabongo yaani KILIMANJARO STARS iliyoko Seattle, Washington,baada ya kuchukua ubingwa wa ligi hiyo ya Seattle kwa kushinda mechi zote za ligi hiyo iitwayo GSSL na league inayoshirikisha team mbalimbali na kilimanjaro stars iliweza kushinda mechi zake zote kwa kuwafunga washiriki wote


Game 1: KILIMANJARO STARS 6 LION OF ATLAS(MOROCCO) 3
Game 2:KILIMANJARO STARS 4 PARS (AMERICA) 0
Game 3:KILIMANJARO STARS 3 POLSKA(POLAND) 2
Game 4:KILIMANJARO STARS 4 DANES(DENMARK) 1
Game 5:KILIMANJARO STARS 3 SWEDISH(SWEDEN) 1
Game 6:KILIMANJARO SATRS 7 VITVARO(ASIAN COMBINED) 3
Game 7:KILIMANJARO STARS 5 DEUTCHLAND(GERMANY) 4

Basi haya ndio matokeo ya fainal ya ligi hiyo ambayo Kilimanjaro Stars(watoto wa nyumbani)walivyotwaa taji hilo la GSSL Seattle champion 2007/08.

thanx bro tunaomba tuweke kwenye blog yetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2007

    Sasa hawa wachezaji , si wangechaguliwa Taifa stars, maana naona wana mafanikio makubwa kuliko wale tulio nao Bongo.
    Tenga, Maximo etc jamanii changamikieni wachezaji hao, tena cost yao ya trainnning itakuwa ndogo, maana tayari wameisha jiweka kimchezo, through hayo mafanikio walio pata( wameisha jifua). By the way Majina Yao akina nani ili iwe rahisi kuwachagua kwa kuwataja majina.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2007

    Tuache ushabiki wa kipuuzi. Hapo hakuna yoyote wa kuweza chezea JK 11. Hao wanacheza mpira kujifurahisha na siyo wa ushindani. Kwa ufupi anony hapo juu fikiria upya kabla hujatoa maoni yako. Otherwise unajiliwaza kwa kujifagilia tu. Huenda nawe ni mmoja wao

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2007

    Hizo timu zenyewe wanazozishinda ni za walevi(timu za pub)wabebe kwanza mabox wakitoka huko ndo waende wakacheze ligi za jumapili za matimu ya pub.hawawezi kuingia jk 11 hao wabeba mabox.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2007

    huo mpira wa kupunguza vitambi vya heineken, kalinyekalinye hawaiwezi
    halafu wakienda jk11 box atabeba nani?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2007

    Na nyie muende bongo mkafanye interview.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2007

    Wabongo wengine wana wivu na majungu!! Hata kama wanabeba mabox..wewe unakuhusu nini?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2007

    ahsante kwa Picha na maelezo Bro michu. Hongereni kaka zangu..Hata kama ni team za kujifurahisha, lakini si wamewashinda hao wanaojifurahisha nao?..tunaomba Safu ya wachezaji na namba wanazochezea.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2007

    Mimi naona vijana hawa wangekaribishwa kucheza mechi ya kirafiki na JK 11.......My opinion.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2007

    Jamani eee hebu wacheni wivu wenu, mbona hampendi maendeleo ya watu ndio maana hatuendelei kazi majungu tu yote hayo kwasababu ya kutokusoma hebu nendeni mashuleni mkajiendeleze-kwa taarifa yenu hao ni wachezaji super sana (there's big potential here) wenye uwezo na vipaji vya juu na endapo watajiendeleza watafika mbali zaidi ya hao Taifa stars wenu-big up guys u are doing a great job!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 23, 2007

    We anony unayesema jamaa wakijiendeleza watafika mbali...mbali wapi na uzee huo?Wameshazeeka,waendelee kujifurahisha na kujiweka fit.Huko mbali wameshachelewa.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 23, 2007

    Wewe unayesema hao ni wabeba mabox usidhani kila aliye USA au nje ya nchi ana maisha unayodhania wewe...Nawafahamu baadhi ya hao jamaa nani watu wenye maisha yao decent jobs,other a descent business man .....so kama hujui mtu nachofanya usimwite tu mbeba mabox unasikia bwana mdogo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...