
mjomba mambo,
Hii ndio timu ya wabongo yaani KILIMANJARO STARS iliyoko Seattle, Washington,baada ya kuchukua ubingwa wa ligi hiyo ya Seattle kwa kushinda mechi zote za ligi hiyo iitwayo GSSL na league inayoshirikisha team mbalimbali na kilimanjaro stars iliweza kushinda mechi zake zote kwa kuwafunga washiriki wote
Game 1: KILIMANJARO STARS 6 LION OF ATLAS(MOROCCO) 3
Game 2:KILIMANJARO STARS 4 PARS (AMERICA) 0
Game 3:KILIMANJARO STARS 3 POLSKA(POLAND) 2
Game 4:KILIMANJARO STARS 4 DANES(DENMARK) 1
Game 5:KILIMANJARO STARS 3 SWEDISH(SWEDEN) 1
Game 6:KILIMANJARO SATRS 7 VITVARO(ASIAN COMBINED) 3
Game 7:KILIMANJARO STARS 5 DEUTCHLAND(GERMANY) 4
Game 5:KILIMANJARO STARS 3 SWEDISH(SWEDEN) 1
Game 6:KILIMANJARO SATRS 7 VITVARO(ASIAN COMBINED) 3
Game 7:KILIMANJARO STARS 5 DEUTCHLAND(GERMANY) 4
Basi haya ndio matokeo ya fainal ya ligi hiyo ambayo Kilimanjaro Stars(watoto wa nyumbani)walivyotwaa taji hilo la GSSL Seattle champion 2007/08.
thanx bro tunaomba tuweke kwenye blog yetu


Sasa hawa wachezaji , si wangechaguliwa Taifa stars, maana naona wana mafanikio makubwa kuliko wale tulio nao Bongo.
ReplyDeleteTenga, Maximo etc jamanii changamikieni wachezaji hao, tena cost yao ya trainnning itakuwa ndogo, maana tayari wameisha jiweka kimchezo, through hayo mafanikio walio pata( wameisha jifua). By the way Majina Yao akina nani ili iwe rahisi kuwachagua kwa kuwataja majina.
Tuache ushabiki wa kipuuzi. Hapo hakuna yoyote wa kuweza chezea JK 11. Hao wanacheza mpira kujifurahisha na siyo wa ushindani. Kwa ufupi anony hapo juu fikiria upya kabla hujatoa maoni yako. Otherwise unajiliwaza kwa kujifagilia tu. Huenda nawe ni mmoja wao
ReplyDeleteHizo timu zenyewe wanazozishinda ni za walevi(timu za pub)wabebe kwanza mabox wakitoka huko ndo waende wakacheze ligi za jumapili za matimu ya pub.hawawezi kuingia jk 11 hao wabeba mabox.
ReplyDeletehuo mpira wa kupunguza vitambi vya heineken, kalinyekalinye hawaiwezi
ReplyDeletehalafu wakienda jk11 box atabeba nani?
Na nyie muende bongo mkafanye interview.
ReplyDeleteWabongo wengine wana wivu na majungu!! Hata kama wanabeba mabox..wewe unakuhusu nini?
ReplyDeleteahsante kwa Picha na maelezo Bro michu. Hongereni kaka zangu..Hata kama ni team za kujifurahisha, lakini si wamewashinda hao wanaojifurahisha nao?..tunaomba Safu ya wachezaji na namba wanazochezea.
ReplyDeleteMimi naona vijana hawa wangekaribishwa kucheza mechi ya kirafiki na JK 11.......My opinion.
ReplyDeleteJamani eee hebu wacheni wivu wenu, mbona hampendi maendeleo ya watu ndio maana hatuendelei kazi majungu tu yote hayo kwasababu ya kutokusoma hebu nendeni mashuleni mkajiendeleze-kwa taarifa yenu hao ni wachezaji super sana (there's big potential here) wenye uwezo na vipaji vya juu na endapo watajiendeleza watafika mbali zaidi ya hao Taifa stars wenu-big up guys u are doing a great job!
ReplyDeleteWe anony unayesema jamaa wakijiendeleza watafika mbali...mbali wapi na uzee huo?Wameshazeeka,waendelee kujifurahisha na kujiweka fit.Huko mbali wameshachelewa.
ReplyDeleteWewe unayesema hao ni wabeba mabox usidhani kila aliye USA au nje ya nchi ana maisha unayodhania wewe...Nawafahamu baadhi ya hao jamaa nani watu wenye maisha yao decent jobs,other a descent business man .....so kama hujui mtu nachofanya usimwite tu mbeba mabox unasikia bwana mdogo?
ReplyDelete