Home
Unlabelled
koinange
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
George kweli ni mkali...! tena sana.
ReplyDeleteNA KIGUGUMIZI APUNGUZE.
ReplyDeleteKama Jeff anasoma hii blog, What happened to INSIDE AFRICA????? Mbona hatuoni tena???When is it back on air???
ReplyDeleteCNN watcher wa NJ hapa.
mbona wamekumbatiana? Jeff knows better than that
ReplyDeleteSifa ya Jeff ni kuwa ni REVERSE mpenda wanaume wenzake. Anafanya kazi nzuri CNN lakini.
ReplyDeleteAtafika mbali lakini kwanza atafute degree. Bila shule hamna kitu maana nasikia sheria iko mbioni kuwakimbiza wote waso-na-shahada!
ReplyDeleteNawasilisha sheikh!
George jitahidi uwe kama huyo Jeff Koi,huwa anang'aa mara kwa mara cnn saa 4 usiku kwenye kipindi cha handsome boy Anderson Cooper. Siku moja tuje tukuone ukimalizia kwa "George Njogopa, cnn, Dar-es-salaam" au vipi?
ReplyDeleteHuyo Jeff alimpa intavyuu Oprah wakawa wanatembea wameshikana mikono, acha maneno kabisa!
Gud lak,
George ni mtangazji mzuri ila ajitahidi kupunguza kigugumizi na asiwe anatangaza kama anaimba (dizaini za Deo Rweyunga).
ReplyDeleteAkiwa makini mmakonde huyu atafik mbali kwani "kila kitu chawezekana duniani".Kila la heri Njogopa!
Huyo George hamna kitu kabisa na hawezi kufika popote shule yake ni ndogo mno huwezi kumlinganisha kabisa na huyo Mkikuyu.
ReplyDeletesomebody MUMU hapo juu kasema koinange ni reverse, ana maana gani? ana maana jamaa ubwabwa?
ReplyDeleteNdo maana yake. Huyo Jeff ni Reverse anapenda Jimmy badala ya kumpenda Jane.
ReplyDeleteJamani ulaya ulaya, i mean Marekani. angalia mmoja anavyong'ara kuliko mwingine.
ReplyDelete