mtangazaji wa habari za siasa na uchambuzi wa coudz fm george njogopa (kulia) akiwa na jeff koinange wa cnn walipokutana arusha kikazi hivi karibuni. endapo kijana huyu atakaza buti atafika mbali kama jeff maana ni mkali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2007

    George kweli ni mkali...! tena sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2007

    NA KIGUGUMIZI APUNGUZE.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2007

    Kama Jeff anasoma hii blog, What happened to INSIDE AFRICA????? Mbona hatuoni tena???When is it back on air???
    CNN watcher wa NJ hapa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2007

    mbona wamekumbatiana? Jeff knows better than that

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2007

    Sifa ya Jeff ni kuwa ni REVERSE mpenda wanaume wenzake. Anafanya kazi nzuri CNN lakini.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2007

    Atafika mbali lakini kwanza atafute degree. Bila shule hamna kitu maana nasikia sheria iko mbioni kuwakimbiza wote waso-na-shahada!
    Nawasilisha sheikh!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2007

    George jitahidi uwe kama huyo Jeff Koi,huwa anang'aa mara kwa mara cnn saa 4 usiku kwenye kipindi cha handsome boy Anderson Cooper. Siku moja tuje tukuone ukimalizia kwa "George Njogopa, cnn, Dar-es-salaam" au vipi?
    Huyo Jeff alimpa intavyuu Oprah wakawa wanatembea wameshikana mikono, acha maneno kabisa!
    Gud lak,

    ReplyDelete
  8. George ni mtangazji mzuri ila ajitahidi kupunguza kigugumizi na asiwe anatangaza kama anaimba (dizaini za Deo Rweyunga).

    Akiwa makini mmakonde huyu atafik mbali kwani "kila kitu chawezekana duniani".Kila la heri Njogopa!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2007

    Huyo George hamna kitu kabisa na hawezi kufika popote shule yake ni ndogo mno huwezi kumlinganisha kabisa na huyo Mkikuyu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 25, 2007

    somebody MUMU hapo juu kasema koinange ni reverse, ana maana gani? ana maana jamaa ubwabwa?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 25, 2007

    Ndo maana yake. Huyo Jeff ni Reverse anapenda Jimmy badala ya kumpenda Jane.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 06, 2007

    Jamani ulaya ulaya, i mean Marekani. angalia mmoja anavyong'ara kuliko mwingine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...