Home
Unlabelled
leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Matokeo tayari...FM kawa wa 3
ReplyDeletehttp://www.pageant-almanac.com/
Anonymous was Monday, May 28, 2007 5:19:00 PM hapo juu, ulichokiona ni "online poll" sio matokeo rasmi. Shindano lenyewe litaanza na kuonyeshwa 'live' usiku wa leo 9pm-11pm ET. Wakati napost hii msg ni 4:26pm ET (or 3:26CST). Ila hizo "online polls" zimeshafungwa, so tukodolee NBC Channel na kumuombea dua zuri mdogo wetu
ReplyDeletewell, Mashindano ndio yameisha, Flaviana aliishia kwenye Top 10. Sio mbaya kwa mara ya kwanza, Tanzania imewakilishwa. Good Job!
ReplyDeleteSASA HAYA NDIO MATOKEO RASMI: FLAVIANA MATATA AMEKUWA WA 6.HONGERA SANA FLAVIANA. HII NI YA KWANZA TANZANIA.
ReplyDeleteamefikia top 10 she did her best congrats
ReplyDeleteameishia top what an accomplish for our sis. congrats.
ReplyDeleteFlavia hongera wala usisikitike hayo ni mambo ya kawaida. Kwanza hata hukuwa na experience ya muda mrefu na kufika top 10 sio mchezo.
ReplyDeletePili I wish wangekuambia bongo usiongee kingereza
Na tatu nadhani gauni la usiku limeku cost. Walivyo washenzi walieka ile sehemu walivyokua wanarudi ndani akawa antengeneza nguo yake kwenye bra. That is not nice.
Jamani Miss USA alichukua nafasi ya Falvia. Ndio maana wali m buuuoo. I couldn’t believe my eyes. Na nilitegemea mkorea anashinda mara kaja mjapani. Well wenye mashindano yao ndio wanaamua Mshindi hatuwezi kusema mengi.
Just priceless advice Tanzania mfanyage hayo mashindano mapema ili mshindi awe na mda wa kujifunza na kuangalia kanda za mashindano ya zamani na kujua nini to expect.. Maswali na majibu ya wengi ni kama ya kufundiswa kwa hiyo sio vibaya kuwa coach watu wetu pia.
Flania alikua ana so much potential lakini she was so raw. Kujieleza kwake mototo wa watu ilikua from her heart wakati wengine wamefundishwa what to say. Bibie huku ukiulizwa swali jibu linalenga dollar sio dollar inalenga jibu. That is the principle. Unawaeleza wanachotaka kusikia.
Pili jamani Tanzania Kiswahili ni lugha pia sio lazima watyu wetu waongee kingereza. Tujivunie lugha yetu. Kama hawako fluent or comfortable with eglish let them do their things in a motherland language..
demu kajitahidi ila gauni.huyo mbunifu sijui kutoka vingunguti..lol..ila babu kubwa demu kajitahidi sana.
ReplyDeleteTHERE IS ALWAYS TOMMOROW.
ReplyDeleteThe first time top 10 the second time tunaondoka nalo.
Hat nchi yetu ilikua kwenye TV for couple of seconds na ilirudiwa rudiwa najua kesho kazini itakua big up and big deal
Hongera FLAVIA
Jamani hivi Tanzania tuna pronouce Ta-nzania au Tanza-nia?
ReplyDeleteoh maskini mpenzi wetu flaviana ameishia top 10.
ReplyDeletemi nadhani wametuibia hawa majamaa.
haya kila la heri flaviana matata
Hivi aliyemvalisha mrembo wetu ile gauni ni nani hasa makungwi wa ughaibuni tujuwe.Hay cha mno nini hasa si mngesema tuchange kuliko kumvalisha gauni kama anaenda kusuka ukili.Msituletee kabisa mwakani,hela tunayo,msiwavalishe warembo wetu nguo za mkwajuni.Yani huyo aliyemvalisha lazima apakwe.Binti mzuri kama yule unamvalisha gauni ya max ten?
ReplyDeleteMiss Japan, Riyo Mori Crowned MISS UNIVERSE(R) 2007 During Live NBC Telecast on May 28th
ReplyDeleteMEXICO CITY, May 29 /PRNewswire/ -- This evening, during one of the
year's most exciting live international television events, a star-studded
panel of judges chose Miss Japan, Riyo Mori, as MISS UNIVERSE(R) 2007.
Ms. Mori is 20 years-old and has been dancing since she was 4. She
loves traveling the world and enjoys visiting museums and watching
musicals.
The judging panel for the 2007 Miss Universe Pageant included NBC's
"Heroes" James Kyson Lee, NBC's "Deal or No Deal" briefcase model Lindsay
Clubine, Dallas Cowboys quarterback Tony Romo, rocker Dave Navarro, World
and Olympic figure skating champion Michelle Kwan, fashion designer Marc
Bouwer, Novela Star Mauricio Islas, "Project Runway" judge and Elle
magazine fashion director Nina Garcia, and former Miss Universes Dayanara
Torres (1993) and Christiane Martel (1953).
Throughout the two-hour event, contestants from 77 countries around the
world competed in three categories: swimsuit; evening gown; and personality
interview. Zuleyka Rivera, Miss Universe 2006, crowned her successor at the
conclusion of the two-hour primetime telecast, before an estimated
worldwide viewing audience of more than 1 billion in over 170 countries.
Final Results:
First Runner Up: Miss Brazil, Natalia Guimaraes will assume the
duties of MISS UNIVERSE 2007 if the titleholder for
some reason cannot fulfill her responsibilities.
Second Runner Up: Miss Venezuela, Ly Jonaitis
Rest of Top Five: Miss Korea, Honey Lee; and Miss USA, Rachel Smith.
Rest of Top Ten: Miss India, Puja Gupta; Miss Angola, Micaela Reis;
Miss Tanzania, Flaviana Matata; Miss Nicaragua,
Xiomara Blandino; and Miss Mexico, Rosa Maria Ojeda
Cuen.
Rest of Top Fifteen: Miss Thailand, Farung Yuthithum; Miss Denmark, Zak
lina; Sojic; Miss Slovenia, Tjasa Kokalj; Miss
Ukraine, Lyudmyla Bikmullina; and Miss Czech
Republic, Lucie Hadasova.
Miss Photogenic Award: Miss Philippines, Anna Theresa Licaros. The general
public voted on http://www.nbc.com for the delegate who
exemplifies beauty through the lens of a camera.
She received a $1,000 cash prize and a trophy from
Rogaska Crystal.
Congeniality Award: Miss China, Ningning Zhang. This award reflects
the respect and admiration of the delegate's peers,
who voted for her as the most congenial,
charismatic and inspirational participant. She also
received a $1,000 cash prize and a trophy from
Rogaska Crystal.
Hivi hiyo Evening gown alipata wapi? Bora anageshona gauni Bongo, ile sijui alikuwa uncomfortable nayo na walimwonyesha sijui ana adjust bra cup ya nguo.
ReplyDelete