Home
Unlabelled
urine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Maalim Issa nimekuelewa kwahiyo URIRIN na ".JINSIA."..ni tofauti ASANTE TUNASHUKURU...hii ni Adobe au manufaa ya Globu.
ReplyDeleteKuna ubaguzi wa kijinsia hapo, mbona choo ya wanaume haina mlango?
ReplyDeleteHiyo system ya maji nimeikubali.
ReplyDeleteHuyo Anony wa hapo juu aminichanganyi kwa kusema ni Globu ama Blogu...ipi ni ipi...??
ReplyDeleteMlango kwenye choo cha wanaume sio sensitive, kwani mara ngapi tumewakuta jamaa wamejibanza nyuma ya miti au hata kwenye mitaro wanamaliza shughuli, ila kwa wanawake ni sensitive kwani wanjiheshimu na huwezi kuwakuta wanafanya kama wafanyavyo wanaume.
ReplyDeleteha ha ha ha labda walitaka kuandika kama wewe ni reverse. heshe person aingie huko. NY city kuna sehemu zina vyoo vya lesbian na gays. Hutaki kuingia chooni mara jibaba linalojifanya gay nalo linaingia chooni au mwanamke anayejifanya gboy aingie choo cha wanaume si watambaka huko huko asahau hata kuwa yeye ni lesbian
ReplyDelete