Huyu ndiye Ebrahim Makunja a.k.a Ras Ebby Makunja a.k.a Bw.Kichwa Ngumu! mtunzi mchokozi,mwimbaji na kiongozi wa kikosi cha watoto sugu "The Ngoma Africa Band" mtu wa watu!mtumishi wa wapenzi wa bongo dansi,akiwa kibaruani kwake jukwaani lazima kieleweke kitu na huwaahacha hoi wapenzi wa mziki barani ulaya kwa wa bling bling zake za kitamaduni tofouti na wanamziki wengine ambao wanaukimbilia umagharibi fulani yeye hupanda na zile za kienyeji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2007

    Kweli keep it real man na utamake big all the way.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2007

    Machifu wa kiafrika wamekuwa wakivaa bling bling 'za kimangharibi' kwa miaka nenda rudi .
    Kama huyu mjomba ameamua kuvaa shanga ni sawa lakini historia ya muafrika ina sema zilikuwa zikivaliwa na wanawake zaidi !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...