
Huyu ndiye Ebrahim Makunja a.k.a Ras Ebby Makunja a.k.a Bw.Kichwa Ngumu! mtunzi mchokozi,mwimbaji na kiongozi wa kikosi cha watoto sugu "The Ngoma Africa Band" mtu wa watu!mtumishi wa wapenzi wa bongo dansi,akiwa kibaruani kwake jukwaani lazima kieleweke kitu na huwaahacha hoi wapenzi wa mziki barani ulaya kwa wa bling bling zake za kitamaduni tofouti na wanamziki wengine ambao wanaukimbilia umagharibi fulani yeye hupanda na zile za kienyeji.
Kweli keep it real man na utamake big all the way.
ReplyDeleteMachifu wa kiafrika wamekuwa wakivaa bling bling 'za kimangharibi' kwa miaka nenda rudi .
ReplyDeleteKama huyu mjomba ameamua kuvaa shanga ni sawa lakini historia ya muafrika ina sema zilikuwa zikivaliwa na wanawake zaidi !