naibu waziri wa miundombinu dk. milton makongoro mmahanga akizindua maonesho ya mawasiliano leo dayamondi jubilei ambayo yatadumu kwa siku tatu ambapo kampuni karibiu zote zinazojihusisha na shughuli hiyo yanashiriki. mh. alizindua pia tovuti ya tume ya mawasiliano (www.tcra.go.tz). zifuatazo hapa chini ni picha za vibanda vya kampuni na taasisi zinazoshiriki kwenye maonesho hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2007

    hivi huyu jamaa makongoro ana doctirate ya nini??

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2007

    an information website inabidi iwe focused kutoa habari, sio mi animation isiyo na maana

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2007

    SILENT STALKER Says.....Hivi naomba niulize mimi kama mdau wa fani hii yetu ya teke-linalo-kujia naomba niulize hivi haya makampuni ye2 ya ICT mbona AIBU hivi na TCRA wanaangalia 2...all i can see from these pics on all vibanda is LAPTOPs are they selling them or wat?? these r supposed to the companies ambazo zinaendeleza ICT in our country lakini from wat i can see badala ya kua creative these companies wameishia kucopy product from developed nation...i biliv in our country they r talented pipo with the knowledge and they can be beneficially lakini hawatumiwi ipasavyo

    TCRA need 2 look at these and enforce companies 2 b creative and try 2 encourage innovations rather than duplicate some western software n products....

    these companies shud hav used show like this to parade there new innovative stuff rather than lousy laptops...... can u all imagine Tanzania mpaka leo haina REAL BROADBAND HOST Capabilities..kila company zinanunua from western countries and then charge us lots of bucks, e.g TTCL,AFSAT,Simbanet etc...i have the facts...its time 2 change....nina mengi ya kuandika mkono waniuma ntaendelea baadae "INANIUMA SANA...."

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2007

    Eti msikie huyo anasema inamuuma sana! Kama inakuuma anzisha kampuni yako tuione hiyo itakayofanya makubwa kuliko yanayofanywa na haya makampuni.

    Tanzania haiwezi subiri watu ambao wanasikia uchungu na kuumia lakini hawafanyi chochote.We want solution providers siyo wenye uchungu wa kuandika au kusema.

    Something is better than nothing.Haya makampuni yanajitahidi.Yatafika huko unakosema.Ujue safari ya Kilometa 1000 huanza kwa kuanza kutembea hatua moja.Haya yameanza.Wewe uko unapiga domo kwenye blog eti nina uchungu! We don`t want speakers, we want doers.Uchungu wako potea nao. Provide practical solution by joining the race.Siyo kuongea tu na machozi na machozi na kamasi ukitoa eti una uchungu.Kamasi na machozi yako hayawezi saidia kutatua matatizo yetu.Anzisha hiyo mikampuni ambayo ni REAL BROADBAND HOST tuione.

    Umekalia umbeya!

    koloboi@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...