
februari 15, 1995: mwandishi john ngahyoma (mwenye peni) akiripoti mchezo wa netiboli mashindano ya kombe la nje cup uwanja wa relwe gerezani. kushoto mwenye afro du ni mwandishi chesi mpilipili na wengine ni mashabiki tu. ngahyoma hivi sasa yuko bbc kituo cha bongo baada ya kusota deiliniuzi, baadaye itv na kumalizia tvt. ni mmoja wa waandishi walio makini katika kazi


keep up uncle.Duuuu umnetoka mbali.
ReplyDeleteEnzi hiiizooo..
ReplyDeleteWakati Huo John Ngahyoma Bajeti yake ya kinyozi ilikuwa ghali kidogo.
sasa hivi akiingia saloon hata kwa Tsh 50/= atanyolewa.
umri umesogea, upara ndani ya nyumba.
Ni mmoja wa Waandishi mahiri na wakongwe wa Hapa bongo.
asee! hawa jamaa wote wawili nawafahamu walivyo sasa hivi. kwa hakika sivyo hivi walivyokuwa...!
ReplyDeleteJohn Ngahyoma, big up!
ReplyDeletehuyo chesi mpilipili huwa ana makala zake zinafurahisha. big up
LAKINI ALIKUWA KAZUBAA KWENYE TV MWANZO!HIVI NASIKIA KUNA MWANDISHI WA HABARI BBC SIKU ZA NYUMA TOKA BONGO ALIRUDISHWA NYUMBANI KWA SABABU YA KUCHAPIA MAJINA YA WACHEZAJI NI KWELI??
ReplyDelete