nafarijika kuona nyuzi bin nyuzi zinamiminika toka kila pembe ya dunia kupitia blogu yetu hii. safari tunapiga tripu hadi ujeremani ambako tunambiwa kama ifuatavyo...
Kwa mara ingine tena wakazi wa mji wa Hannover baaya ya maonesho ya kimataifa ya Expo 2000 Hannover wataishuhudia tena bendi ya The Ngoma Africa waliofanikiwa kuchukua tuzo ya bendi bora ya kiafrika katika maonesho hayo. Hayo yote yamo pia kwenye vyanzo vingi vya habari ikiwamo mitandao maarufu barani ulaya kama www.tanzanianow.com , www.tzuk.net na www.bongo5.com
Aidha, katika gazeti la AfricaNews lichapishwalo mjini Rome,Italy, na kutawanywa ulaya kote pia limeandika habari za bendi maarufu The Ngoma Africa kuwa watawasha moto mkali na muziki wao ambao mnaweza kusikiliza katika tuvoti hii http://www.myspace.com/thengomaafrica

Yeah hawa ndio wakwetu. Mkisema hatu wathamini wasanii wetu mtakosea sana. Nimesikiliza nyimbo zao kweli hawa hata wkija US wakataka kiingilio $100 nitatoa.
ReplyDeleteHizi ndio nyimbo za kwetu asilia.