novemba 10, 1985: mwalimu akiwa na mama yake pamoja na mama maria butiama mara tu baada ya kunga'tuka madarakani. habari za uhakika zinasema kutakuwepo na hafla ya kumkumbuka mwalimu itayofanyika london mwezi ujao, na madaraka nyerere ni mmoja wa watoa mada. soma chini kwa habari zaidi
Subject: Rediscovering Nyerere's Tanzania – Sat 16 June, 11 am–midnight
Meeting, Exhibition of children's art & Benefit with live music
Saturday 16 June, 11 am - midnight
Meeting, Exhibition of children's art & Benefit with live music
Saturday 16 June, 11 am - midnight
Julius Nyerere
Nyerere's Tanzania The lessons for development, unity & peace with Godfrey Madaraka Nyerere son of Julius Nyerere, Tanzania's 1st President
Trinity United Reformed Church, Buck Street, London NW1Kentish Town Road end, behind Sainsbury's, Camden Town
All Welcome.
Entrance to exhibition: by donationEntrance to meeting & benefit: funded organisations & professionals £20; waged £10; low waged £5; unwaged £3; asylum seekers free No one turned away for lack of funds
On Soweto Day & the Day of the African Child
11 am-1 pmExhibition of children's art The Work that Children Do
Drawings, paintings, collage, sculpture, writings...from children in Butiama (Tanzania), Chattisgarh (India), Dublin & Galway (Ireland), Barcelona (Spain) & some London schools.
11 am-1 pmExhibition of children's art The Work that Children Do
Drawings, paintings, collage, sculpture, writings...from children in Butiama (Tanzania), Chattisgarh (India), Dublin & Galway (Ireland), Barcelona (Spain) & some London schools.



Viingilio vya nini? hawa wanaganga njaa tu. Alafu uchafu wa uingereza wa ku-gawa watu kihali: professionals,waged, low waged, unwaged! Dhambi kwa mungu kanisani hapo na Mwalimu asingependa hivyo.
ReplyDeletethis picture remind us one important thing: this man had used his age of retirement with his mam and voters in the village he was really like his people different from leaders we see now after retirement they are domicile masaki in the houses they got by corrupt system. You people we need to learn from mwalimu a man leaved with intergrity and high degree of transparency
ReplyDeleteMUNGU AMLAZE PAHALA PEMA PEPONI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE. BABA WA TAIFA ALIYE MWAMINIFU, ALIPENDWA NA WATU WOTE ONA HATA VITOTO VIDOGO VILIKUWA VIKILIA NA KUGARAGARA BARABARANI PALE MWILI WAKE ULIPOWASILI NA NDUGU,FAMILIA NA MARAFIKI NA SERIKALI.
ReplyDeleteHII FAMILIA BWANA YA HESHIMA NA HAINA MAJIVUNO MPAKA SASA HATA WATOTO WAKE WANAISHI KIMASIKINI TU. MUNGU AWABARIKI. NACHEFUKWA SANA NIKIONA WATU WANAOWASEMA VIBAYA HAWA WENGINE KWA MAJIGAMBO YA PESA ZAO ZA WIZI SERIKALINI. NYERERE HAKUIBA HATA SENTI TANO KWA NCHI YAKE AU KUPENDELEA WATOTO WAKE KWA UFAHANI NO,NO,NO.
MBARIKIWE. AMINA. SHUKRANI MHESHIMIWA MICHUZI KWA KUTOA MARA KWA MARA KUMBUKUMBU ZA JEMEDARI WETU. NAWE UBARIKIWE KAKA.
Jamani ni kutunisha mfuko.. mbona wengine wameambiwa waingie bure... sasa kelele za nini. NITAMKUMBUKA SANA MWALIMU MAANA NILISOMA BURE NDO MAANA NIKO ULAYA.
ReplyDeleteWtaingia woe free kwa vile kila aliye UK ni asylum seeker.
ReplyDeleteHivi naomba kuuliza wana file hiyo asylum kwa category gani? Ni political, war or economical refugee huko?
wewe Anonymous wa Wednesday, May 23, 2007 12:27:00 AM. unaoneka baba yako ndio wanaokula rushwa , kila mtu unafikiria asylum seeker au wapo wabongo karibia asilimia 87% wapo hapa U.K kama visa ya wanafunzi, holiday na kufanya kazi sasa wewe ukiona kila mbongo ndio asylum sijue kama unajua maana yake ndio nini ? nenda shule kwanza au ndio wivu kuwa upo bongo na unapanda daladala wa wezako wanapanda underground tube na double-decker bus hii ndio tofauti ya ulaya na bongo, tembea uone. Bimbi wewe
ReplyDeleteNani anasema Nyerere hakuwa mwizi?
ReplyDeleteAlikuwa jambazi kubwa alitupora sisi wahindi mali zetu tulizozitokea jasho kubwa sisi na watoto wetu kwa kutaifisha ili asomeshee watanzania maskini wavivu bure na kuwatibia bure watanzania wavivu.
Huo ulikuwa wizi na ujambazi mkubwa.Huwezi sifia jambazi linaloiba eti limeenda saidia watu hivyo unalitangaza litakatifu kama kanisa katoliki linavyotaka kufanya.
Ndio maana wahindi roho ya huruma imetutoka kwa nchi hii tukipata nafasi ya kupora tunapora bila huruma iwe kwenye sekta yoyote.Tumeamua kulipa kisasi cha aliyotufanyia Nyerere.Alitupora lazima na sisi tupore.Nyerere hakuwa na huruma na mali za wahindi kwa nini wahindi tuwe na huruma na mali za nchi hii? Wakati watanzania waliandamana na kupiga makofi kumshangilia wakati anataifisha mali zetu.Sisi tulikuwa tunalia watanzania nchi nzima walikuwa wanacheka.
Sasa kilichobaki kwa wahindi ni Pora sana peleka Canada,Uk,India,Uswisi kisha hama nchi kwenda zako ukitosheka au ukiona hakuna cha kuendelea kupora.Hakuna haja ya kuwahurumia watanzania sababu hawakutuhurumia wakati mali zetu zinachukuliwa.
hata mimi ni kama mdau hapo juu na naamini wengi tutamkumbuka mwalimu NYERERE milele tumesoma bure. na tuna elimu za juu ambazo zinatupatia ajira kubwa na hapa mjini, manaona mdau hapo kasema ndio maana hata sasa yuko ULAYA.
ReplyDeleteNyerere Mungu amlaze mahali pema peponi.
Na walaaniwe wote wanaomsema vibaya.
Wezi wako wengi, na watu wa serikali ambao walikuwa wakificha makucha yao kwa kumheshimu Nyerere punde alipokufa, wameshindwa kujizuia bali kuonyesha their true colours.
kuwa na pesa na majivuno si kitu cha muhimu WOTE MTAKUFA NA HIZO PESA ZENU NA MAJIVUNO MTAACHA HAPA HAPA DUNIANI.
Wewe Anonymous wa 8:34Am hata waafrika waliathirika, msisahau baada ya Azimio la Arusha, Chief Mandara wa huko UChaggani alijiua baada ya kunyanganywa mabasi yake.
ReplyDeletewewe mjinga unayejiita muhindi unasema mlinyangwanywa mali zenu mlishindwa nini kurudi kwenu india, tena tuna mpango wa kuwakimbiza upya hata kama baba yako alizaliwa tz hatukutambui utaondoka kwa fimbo.
ReplyDeleteYou Indian racist I can see why Nyerere nationalised everything. It is because of old poor little ethnocentrist racist like you who think you are better than other that is why we took everything. I will tell you this, you better get out of Tanzania sooner rather than lather; otherwise, we are going to take all they so called your properties that you acquired illigally in TZ and by the time we finish with you, you will remain as poor as the church mouse.
ReplyDeleteata mimi muhindi, na wahindi wote siyo wizi. In fact, I cannot even say that I am Indian, I am a Tanzanian! I will lay down whatever I have for this country. The color of my skin, or anyone's for that matter is irrelevant. Nyerere was a man of infinite genius. In the contemporary political context it is very easy for so many to say that Nyerere destroyed the country, what is important to remember is the fact the it was Nyerere who built the country!!
ReplyDeletehttp://conscious-revolution.blogspot.com
hii ni aibu tupu mnataka wahindi waondoke mali zao wamegawana wadaku wa nyerere, wazawa/wabantu wote wanakimbilia nje kuomba asylum eti wametoka somalia,drc congo n.k. halafu mnafanya nyerere dei? wabantu hawa sijui usenge wa akili mtaacha lini? wabantu wote ondokeni sisi wambulu,wamang'ati,wasandawe,warangi,wamasai tunakuja kuwakata wote nyinyi, especially wangoni.
ReplyDelete