wadau kunradhi, tarishi huwa hauwawi. wadau wa oslo wamenitonya kwamba wana vitu kama hivyo juu na vingi vinginevyo endapo utatembelea http://watanzaniaoslo.blogspot.com/ mie simo...zawadi kwa wadau wa oslo bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2007

    haki yanani hawa akina dada hawajionei huruma, haya mi niko mkao wa kula tayari kusoma komentis

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2007

    Hey Michuzi, hao ni akina dada/mabinti au akina mama. Maana kabla ya comment tujue kwanza.

    Mzee wa kuropoka

    ReplyDelete
  3. Watanzania wanapenda wadada wenye mwanya shauri zenu and good luck.

    Issa ile suite uliyo vaa ukiwa na meddy haki ya nani umependeza sana. Sasa sikia tukikutana Dodoma usisahau hilo koti maana kule kuna baridi kavu yakupasua ngozi litanisetili....msikonde jamani..
    mi sio wa kwanza wapo walio tangulia kuvaliana makoti.
    Waridi

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2007

    Kwa ujumla wamependaza sana tena wana tia hamu haswaaaa, hamu ambayo kila mtazamaji atakuwa nayo, kweli ni hamu ya ya kujua haswa hawa akina dada ndio wamiliki wa hiyo blog ya watanzaniaoslo au.

    Ila huyo wa kati mi sisemi ila kwa anaejua video ya dudubaya ya 'nakupenda tu vile ulivyo' atajua ninachoongea nini maana kama ana undugu na yule dada aliyefanya shutingi ya nakupenda tu na dudubaya.

    Ila wote warembo jamani

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2007

    chonde Chonde kabla ya kuwavamia hawa wamama nadhani,nimesikia hapo Oslo ni kwa watu wa familia ,hata wanafunzi wengi ni watu wenye wenye familia zao ,hivyo kabla ya kutoa comments nzito ,tukumbuke hilo .Lakini pia nimeambiwa mabinti wapo wachache na wanguvu pia !

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2007

    Anon wa 6:58 pm hata watoa comment nao ni watu wa familia vile vile na hata akina Inno na Jennifer ni wanafamilia vile vile. Ukisha onekana hapa wewe ni wafamilia ya wanablogu vile vile na ukubali maoni ya wanafamilia. wangekuwa sio wanafamilia wasingejitokeza kwenye familia kama tunavyo waona hapa.

    Jamani ruksa wanafamilia wenzangu wadada sijui wamama ndio haoooo na lipstic zao zimefanana nafikiri walienda saloni moja au walijipamba pamoja.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 16, 2007

    Hellooo kwani wee annoy hapo juu umesikia wapi hakuna watu wa familia? Kila mji una watu wa familia ndugu yangu.

    Unajua nyie hamjui tu picha zinasema yote na kikulacho ki nguoni mwako.

    Mimi nimeshaona picha ikiwekwa kwa Michuzi ya heshima hamna hata mmoja anayefungua neno.

    Na pia watu wanao back fire humu mara nyingi ni marafiki za watu walio kwenye picha na hayo yanakua ni majungu, wivu au personal difference walizo nazo sasa inakua payback time here. Wanakuwa wanamjua mtu fika lakini wanajidai hawamjui na kila linalosemwa linakuwa lipo kama halipo linakuja au lilipita.

    So just you know hata USA and UK kuna familia zilizo na heshima pia.

    Naomba kuwakilisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...