
kwa mahesbu ya blogu yetu hii mpendwa waziri mkuu wetu mstaafu frederick sumaye anatarajiwa kuhitimu masomo yake huko havard wiki ya kwanza ya julai na mambo yakienda vyema atarejea nyumbani. hapa akisalimiana na wadau wanaoishi huko aliko mwezi septemba mwaka jana. hakika tumem-miss. mambo ya ndivyo sivyo bofya hapa


Fredrick Tluway Sumaye...TLUWAY maana yake mvua kwa Kiiraq. Kijana wa Endamarariek kule Hanan'g. Watu wanafikiri ni Mmasai utasikia Aaa kila mara waziri mkuu Masai Sokoine, Sumaye, Lowasa...kwa taarifa yenu kwenye listi hapo Mmasai ni mmoja tu!!! Any way hakuna UKABILA Tanzania. Chapeni kazi waungwana
ReplyDelete"KILA AWACHAFUAYE WENZAKE KWA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI ILI AWE RAIS AKIFIKA IKULU ATACHARANGA NJIA YAKE KWA RISASI"- F.W.T.SUMAYE (2005 WAKATI WA KAMPENI ZA KUWANIA URAIS, NGAZI YA CHAMA).
ReplyDeleteMICHUZI JANA UMEYABANIA MAONI HAYA, LEO MNIMEYA-EDIT KIDOGO;UISYATUPE TAFADHALI, SI UNATUAMBIA HII NI BLOG "YETU" SASA MBONA UNABANA?
Wewe anoy hapo juu mbona unajikanyaga mwenyewe. Who cares na nani ameshauliza mambo ya wamasai au waarusha. Just do your job and keep quite. Wewe ndio unapoteza muda kuwaza ya kijinga msuya, malechela ni masai pia???? Find something to so
ReplyDelete